Hatari, jamaa ana mijengo ya maana 73 kule pugu. Hata kama katumbuliwa haina tatizo sasa anakula na kulala tu. Siku hizi shavu dodo tofauti na wakati ule anazitafuta.embu nenda kwa mmoja aliyetumbuliwa uone kwake ulinganishe na mshahara wake. tunatulia kwa sababu tunajua yatafumuka mengi kama uamini ajitokeze hata mmoja uone
Upo sahii mkuu.Hapo ni kwamba anapotengua kwa matakwa yake,hapo hakuna shida. Shida INA kuja pale anapokuharibia public image ya kukwamnia labda wewe mwezi, ulikosea, au sababu yoyote inayokushushia hadhi mbele ya jamii. Unayohaki ya kwenda mahakamani kuweka historian sawa
Kwani mahousegirl sio watu?wakizito huyu ngosha wako anaweza kuwa matatani kwanza hafuati sheria a kazi anafukuza fukuza watu tu kama mahousegirl waende tujue mbivu na mbichi
Binadamu tumejaa unafiki sana, yaani yameguswa maslahi yao ndio wanaamka kwa sababu ya maslahi yao, lakini kwenye maslahi ya umma wako kimya! ShameWazitoe
Naona nao wanaharufu ya unafiki, mbona hizo siri hawakuzitoa mapema kwa maslahi ya taifa? Kwa sababu Ngosha kawanyima ugali ndo wanaanza kutishia
Teh teh teh tehahha ahaha, walikuwa wanatwambia vijana mkajiajili
nimewatolea mfano kwasababu wengi wao wanahangaishwa na hawana haki kabisa siku bosi akiamua anatupa mabegi..wao ni wa kunanyaswa wakati meingine bila makosa ya maana ama kusingiziwaKwani mahousegirl sio watu?
huu ni ujinga wa kiwango cha phd hewaNadhani ni kuchanganyikiwa na hasira tu.Wasijaribu kabisa kushitaki,kwa sababu hata hivyo vijumba walivyoachiwa havilingani na vipato vyao,vitachukuliwa wakose hata pa kulala
Hahahaa na hata mkichukuliwa wake zenu bado mnamuachia Mungu au unaenda kwa mganga.Tatizo TZ hatuko energetic,hatuna munkari sijui kwakua hatuvuti bangi vyakutosha na kunywa visusio ili tuwe na hasira. Yaani mtu anaonewa lkn anatuliaaa hata kusema nimeonewa hawezi,mtu anang'olewa meno kimyaa,kucha kimyaaa,anasingiziwa wizi na ufisadi kimyaaa...dah!! Tunakasirika tukichkuliwa Wake tuu
Si muwakimbize tu mahakamani?mtu katumbuliwa ana nyumba 70,naye huyo anaenda kushitaki ninihuu ni ujinga wa kiwango cha phd hewa
Hapo sasaWazitoe
Naona nao wanaharufu ya unafiki, mbona hizo siri hawakuzitoa mapema kwa maslahi ya taifa? Kwa sababu Ngosha kawanyima ugali ndo wanaanza kutishia
Shauli yao bora watulie tu lasivyo watageuziwa kibao sasa hivi kwa kufunguliwa mashataka ama ya uzembe au matumizi mabaya ya madaraka.
Wanatishia kujamba wakati wanaumwa tumbo la kuharisha, Teh! Teh! Teh!.
Reply yako haiendani na uhalisia hizo ni presidential appointments mamlaka na haki ya kuteua au kutengua iko katika ofisi ya Raisi mwenyewe wanaweza kwenda mahakamani pale tu maslahi` MAFAO' yao yanapoguswa kitu ambacho naamini huwa hakitokei.Kwa hiyo kwa sbb ni maamuzi yako kuoa na kuzaa watoto una uwezo wa kuwafanya vile unataka hata kuwafukuza na kuwaua?
Hey you people, HAWAJAFUKUZWA appointments zao zimetenguliwa na mamlaka iliyowateua watalipwa mafao yao kama kawaida sasa hapo kuna lipi la kisheria kulalamika mahakamani?vile vile endapo leo watatoa siri watakuwa wanakiuka viapo vya utii walivyoweka na hivyo wao ndio watakaojikuta matatani wao watulie tu wamshukuru Mungu kuwa miongoni mwa Watanzania wachache angalau nao walipata fursa adimu ya kuonja cream of honey.Mkuu fikiria kidogo. Wangezitolea wapi hizo siri.. Assume umefukuzwa na HUNA mamlaka ya kukaa ofisini wala kuita Mwandishi habari.. Anyway back to the topic hata WAkilalamika bado rais kisheria inafafanua yeye ndio mwajiri.. Hawatafanikiwa
View attachment 454059
Wasema wataiburuza serikali makamani.
Wadai serikali inawaonea na wapo na siri nzito na wako tayari kuzitoa mahakamani.