Waliotumbuliwa wadai wana siri nzito

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
12,503
51,000
1483503405076.jpg


Wasema wataiburuza serikali makamani.

Wadai serikali inawaonea na wapo na siri nzito na wako tayari kuzitoa mahakamani.
 
Vyeo vya kuteuliwa unaendaje kupinga, ni maamuzi ya aliyekuteua kuamua kufanya kazi na ww au la
Hapo ni kwamba anapotengua kwa matakwa yake,hapo hakuna shida. Shida INA kuja pale anapokuharibia public image ya kukwamnia labda wewe mwezi, ulikosea, au sababu yoyote inayokushushia hadhi mbele ya jamii. Unayohaki ya kwenda mahakamani kuweka historian sawa
 
Tatizo TZ hatuko energetic,hatuna munkari sijui kwakua hatuvuti bangi vyakutosha na kunywa visusio ili tuwe na hasira. Yaani mtu anaonewa lkn anatuliaaa hata kusema nimeonewa hawezi,mtu anang'olewa meno kimyaa,kucha kimyaaa,anasingiziwa wizi na ufisadi kimyaaa...dah!! Tunakasirika tukichkuliwa Wake tuu
 
Wazitoe
Naona nao wanaharufu ya unafiki, mbona hizo siri hawakuzitoa mapema kwa maslahi ya taifa? Kwa sababu Ngosha kawanyima ugali ndo wanaanza kutishia
Mkuu fikiria kidogo. Wangezitolea wapi hizo siri.. Assume umefukuzwa na HUNA mamlaka ya kukaa ofisini wala kuita Mwandishi habari.. Anyway back to the topic hata WAkilalamika bado rais kisheria inafafanua yeye ndio mwajiri.. Hawatafanikiwa
 
Kuna magazeti huwa siyasomi kabisa... Uhuru, Mzalendo, Tz Daima, Mwanahalisi, Jamhuri na yale ya Shigongo
 
Tatizo TZ hatuko energetic,hatuna munkari sijui kwakua hatuvuti bangi vyakutosha na kunywa visusio ili tuwe na hasira. Yaani mtu anaonewa lkn anatuliaaa hata kusema nimeonewa hawezi,mtu anang'olewa meno kimyaa,kucha kimyaaa,anasingiziwa wizi na ufisadi kimyaaa...dah!! Tunakasirika tukichkuliwa Wake tuu


embu nenda kwa mmoja aliyetumbuliwa uone kwake ulinganishe na mshahara wake. tunatulia kwa sababu tunajua yatafumuka mengi kama uamini ajitokeze hata mmoja uone
 
Hakuna kitu kigumu dunian km kumwambia mwingine ajiajir wakat huo ww umeajiriwa. WAJE TUFYATUE WOTE MATOFAL HAPA MSEWE.
Tena wao walikuwa kwenye nafasi nzuri kwa sababu kama ma- deal umepiga vya kutosha kwa hiyo utakuwa na mtaji wa kutosha kujiajiri kuliko sisi wa mitaani huna hana mtaji au kuupata mtaji ni shida halafu unalalamika kama mimi ningekaa kimya tu.
 
Back
Top Bottom