King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,419
- 88,756
Waingie JF na Fake ID wamwage Data.
Mkuu watu wengne ni wakuteuliwa na wanajifanya wana siri je si watwambie sisi wananchi ndo tupime uzito wake au wameweka mtaji wa kisiasa mpaka 2020Vyeo vya kuteuliwa unaendaje kupinga, ni maamuzi ya aliyekuteua kuamua kufanya kazi na ww au la
View attachment 454059
Wasema wataiburuza serikali makamani.
Wadai serikali inawaonea na wapo na siri nzito na wako tayari kuzitoa mahakamani.
wakizito huyu ngosha wako anaweza kuwa matatani kwanza hafuati sheria a kazi anafukuza fukuza watu tu kama mahousegirl waende tujue mbivu na mbichiWazitoe
Naona nao wanaharufu ya unafiki, mbona hizo siri hawakuzitoa mapema kwa maslahi ya taifa? Kwa sababu Ngosha kawanyima ugali ndo wanaanza kutishia
Kuna magazeti huwa siyasomi kabisa... Uhuru, Mzalendo, Tz Daima, Mwanahalisi, Jamhuri na yale ya Shigongo
Mkuu fikiria kidogo. Wangezitolea wapi hizo siri.. Assume umefukuzwa na HUNA mamlaka ya kukaa ofisini wala kuita Mwandishi habari.. Anyway back to the topic hata WAkilalamika bado rais kisheria inafafanua yeye ndio mwajiri.. Hawatafanikiwa
teh teh teh tena ukitazama wameajiriwa muda mrefu ata mitaji ya kwenda kulima na kufugia wanayo sasa wanaogopa nn mbona walikua mstari wa mbele kuwa ambia vijana wakajiajiri huku vijana ata mitaji hawana safi sana wapate fundisho kuwa mtaani pagumuahha ahaha, walikuwa wanatwambia vijana mkajiajili
Alafu anakimbilia mahakamani. ..a total pathetic strategy. .Tatizo ni pale mnapopiga dili pamoja, jamaa anakugeuka wewe unatumbuliwa peke yako
Si chadema huwa wanasema mahakama zinaendeshwa na MagufuliView attachment 454059
Wasema wataiburuza serikali makamani.
Wadai serikali inawaonea na wapo na siri nzito na wako tayari kuzitoa mahakamani.
wakizito huyu ngosha wako anaweza kuwa matatani kwanza hafuati sheria a kazi anafukuza fukuza watu tu kama mahousegirl waende tujue mbivu na mbichi