Sins uhakika sana na hicho unachosema kuwa ni matajiri kwa hiyo siwezi kubisha lkn kama ulishawahi Fanya kazi ktk ofisi za umma, mzee kuna majungu kibao.Sawa lakini ukifuatilia wote waliopigwa chini wamehusika kwa ubadhilifu, kwanza wote ni matajiri wa kupindukia hizo hela wametoa wapi mzee.
Unaweza kugombana hata kwa demu tu na fitina ikaanzia hapo.
Kuna haja ya kuangalia kwa undani kidogo ili kujiridhisha.
Si umesikia mwanza watumishi 4 wamerudishwa baada ya kubaini hapana makosa