Waliotumbuliwa majipu na Rais ni waoga? Mbona hawafuati ushauri wa UKAWA?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,339
5,574
Ndugu wanajamvi, Mh Rais aliwatengua nafasi za watu mbalimbali ambao walikuwa ni wateule wa ngazi yake. Lakini Juzi UKAWA kupitia kwa Mwanasheria wetu mahili Tundu Lissu tuliwadhauri waende mahakamani ili walipwe mabilioni kwani Mh Rais aliwatumbua akiwa hajatangaza Instruments katika Gazeti la Serikali. Cha ajabu licha ya Ushauru huu wa mwanasheria wetu mahili wa Ukawa ndu Lissu bado wahusika wamekaa tu na wako kimya. Kukumbushia wachache waliotumbuliwa na Mh Rais nikama ifuatavyo;
  • Kamishina Mkuu wa TRA--Bashe--suala la makonteina
  • Mkurugenzi Mkuu wa Bandari...Masawe..Issue ya Makoteinna
  • Mkurugenzi mkuu wa TACRA--Issue ya mkataba wa kuchukua pesa za serikali kutoka kwenye simu za ndani na transaction nazo.
  • Mkurugenzi wa Vipimo--Issue ya Vipimo vya kupima mafuta.
  • Mkurugenzi mkuu wa Kupambana na Rushwa..Issue ya Uzembe na kushamiri kwa Rushwa.
Kwa kuangalia hao wachache hapo juu na makosa yao, je Mh Rais alikosea kuwatengua kiasi kwamba sisi UKAWA tunaona wanapaswa kwenda Mahakamani kudai mammillion? Je Ukimya wao ni Uoga au kukili kuwa walitumbulia kihalali hivyo hoja ya Ukawa ukosa Mashiko? Wadau mnamaoni gani??
 
ok
 
Watathubutu waliwe samaki?! Mijizi, mifisadi na majangili yaende mahakamani? Thubutu yako! Kwani wao hawajui makosa yao! Waache waishi kishetani kidogo!
 
SI MWANASHERIA WETU WA UKAWA KASEMA KUWA MH RAIS HAKUWA NA INSTRUMENT HALAFU HAKUWASIKILIZA??HIVYO WANAWEZA KUSHINDA?
 
Ndugu wanajamvi, Mh Rais aliwatengua nafasi za watu mbalimbali ambao walikuwa ni wateule wa ngazi yake. Lakini Juzi UKAWA kupitia kwa Mwanasheria wetu mahili Tundu Lissu tuliwadhauri waende mahakamani ili walipwe mabilioni kwani Mh Rais aliwatumbua akiwa hajatangaza Instruments katika Gazeti la Serikali. Cha ajabu licha ya Ushauru huu wa mwanasheria wetu mahili wa Ukawa ndu Lissu bado wahusika wamekaa tu na wako kimya. Kukumbushia wachache waliotumbuliwa na Mh Rais nikama ifuatavyo;
  • Kamishina Mkuu wa TRA--Bashe--suala la makonteina
  • Mkurugenzi Mkuu wa Bandari...Masawe..Issue ya Makoteinna
  • Mkurugenzi mkuu wa TACRA--Issue ya mkataba wa kuchukua pesa za serikali kutoka kwenye simu za ndani na transaction nazo.
  • Mkurugenzi wa Vipimo--Issue ya Vipimo vya kupima mafuta.
  • Mkurugenzi mkuu wa Kupambana na Rushwa..Issue ya Uzembe na kushamiri kwa Rushwa.
Kwa kuangalia hao wachache hapo juu na makosa yao, je Mh Rais alikosea kuwatengua kiasi kwamba sisi UKAWA tunaona wanapaswa kwenda Mahakamani kudai mammillion? Je Ukimya wao ni Uoga au kukili kuwa walitumbulia kihalali hivyo hoja ya Ukawa ukosa Mashiko? Wadau mnamaoni gani??

wanajaribu kupitia vifungu wanaona hapana itakula kwao, kama wanadhani raisi kakurupuka waende mahakamani, lisu wasaidie au ndo ulopokaji...
 
LAKINI MH RAIS HAKUWA NA INSTRUMENT KWA MJIBU WA LISSU NA MPAMBE WAKE WA ROMBO AKA MTAFITI WA CHADEMA
 
wamejiongeza maana unaweza kuchukuliwa na kaaakiba kakusomeshea watoto ukadhalilika lissu atakushauri ili mumsaidie kukikuza chama lkn maamuzi utayabeba peke yako ndo kwanza sembe robo itaadimika jumla lazima uwe na akili
 
Wakati mwingine wakienda mahakamani ndo watajipalia makaa. Bora watulie kusubiri hatma yao
 
SI MWANASHERIA WETU WA UKAWA KASEMA KUWA MH RAIS HAKUWA NA INSTRUMENT HALAFU HAKUWASIKILIZA??HIVYO WANAWEZA KUSHINDA?
Hakunaga hiyo, Lissu anawatega waumbuke, wengi wapoteze pensheni! yaliyomo ndani ya chungu hata wewe mwenyewe ungekubali yaishe! wamevuna sana shamba la bibi na kula bila kunawa; wawe wapole taifa liwasamehe ili kwa pamoja tupate national healing, maisha yasonge mbele kwa manufaa yetu sote.
 
SASA KAMA YULE WA PCCB AU TRA KUCAHA KUSHITAKI WAKTI WATU WA HAKI ZA BINADAMU WANAWASIMAMIA PAMOJA NA UPINZANI HUONI NI UJUHA KWELI
 
Rais hawezi kumtumbua tu bila utafiti kufanyika kwa makini na ushahidi wa kukusanywa wa tuhuma zake,kwa hivyo hawawezi kwenda mahakamani manake wanajua kabisa wao ni majipu!wengine job description walikua hawazifuati ndio maana wakatumbuliwa na wengine kweli ni wezi.Kwa iyo hawezi kwenda kokote wanajua itakuwa ngumu wao kuchomoka
 
Lakini Lissu na watu wengine tena wasomi na wabunge wamesema Mh Rais hakuwa na Instrument hivyo kuwatumbua ni kosa na wao wanaopnea hapo hata kama wameiba kwani mahakama itawapa haki.Sasa kwa hali hii nashangaa hadi sasa hawaendi kushitaki hivi kwanini wakati wamepata upenyo??
 
Back
Top Bottom