Waliotuletea dini wote wanakula sikukuu kesho ila sasa nchi yangu 🄲

Waliotuletea dini wote wanakula sikukuu kesho ila sasa nchi yangu 🄲

Mufti chawa kaambiwa na mamaduro asubiri asiwe na haraka, kila kitu sisiemu ndio engineer
 
Iran kwa washia pamoja na vita vyao kesho wanaangusha ngamia MashaAllah nako Saudia chimbuko la sunni nako kesho ni shughuli yani middle east yote kesho ni bata batani

Inashangaza tanzania imekuwa kawaida kusherekea sikukuu hizi siku ambazo ni tofauti na tunaowaangalia kama ndio chimbuko la dini lilipotokea.

Viongozi wa dini kwetu kwanini wamekuwa viburi inakuwaje kenya wauone mwezi tz tusiuone? wenzetu mwezi wanautafuta kwa darubini na wanuona sa kama hawajauona kwanini waidanganye dunia?

Ina maana iran na saudia wanajidanganya kwa kuutafuta mwezi kwa darubini hadi mwezi uje uonekane kesho ukiwa mkubwa sio muandamo tena.

Binafsi Eid nakula kesho na bata nishalianza saivi yani waambieni bakwata washachelewa.
We umeuona mwezi? Kama umeuona umetoa taarifa BAKWATA?
 
Back
Top Bottom