Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,274
- 4,549
Eid Mubarak.Michezo ya Baraza la ccm hiyo, kila mwaka ndio style Yao.
keko hii ina mambo sana mtani tuache tuu kuna ftari ya kuku ila ni shingo na vinyeo vya kuku 😂😂
Minal faidhinaEid Mubarak.
Mufti kilaza mmoja! Viongozi wengi wa dini yetu hawana elimu ya securalIran kwa washia pamoja na vita vyao kesho wanaangusha ngamia MashaAllah nako Saudia chimbuko la sunni nako kesho ni shughuli yani middle east yote kesho ni bata batani
Inashangaza tanzania imekuwa kawaida kusherekea sikukuu hizi siku ambazo ni tofauti na tunaowaangalia kama ndio chimbuko la dini lilipotokea.
Viongozi wa dini kwetu kwanini wamekuwa viburi inakuwaje kenya wauone mwezi tz tusiuone? wenzetu mwezi wanautafuta kwa darubini na wanuona sa kama hawajauona kwanini waidanganye dunia?
Ina maana iran na saudia wanajidanganya kwa kuutafuta mwezi kwa darubini hadi mwezi uje uonekane kesho ukiwa mkubwa sio muandamo tena.
Binafsi Eid nakula kesho na bata nishalianza saivi yani waambieni bakwata washachelewa.
kwa muktadha huo na tanzania ni lazima iwe mbele ya senegal? na senegal lazima iwe mbele ya brazil? na brazil lazima iwe mbele ya mexico? fafanua hapo mkuuHujui kwamba kijiografia iran na saudia ziko zaidi mashariki mwa greenwinch mbele ya tanzania? Hizo nchi ziko mbele kimasaa, hata kama bakwata wangetangaza kesho ni iddi hizo nchi zingetangulia tu kula iddi
Mimi shingo zote mngezikuta kama zilivyo😂keko hii ina mambo sana mtani tuache tuu kuna ftari ya kuku ila ni shingo na vinyeo vya kuku 😂😂
Muft Zuber Bin Ally
Hajasema Kuwa Kesho Idd Mubaraka
Wewe kweli hujaelewa kitu bado sisi na saudia hatutofautiani hata sekunde kimasaa wao nisaa Kumi na moja na dakika 57 kwa sasa alfajiri na sisi ni hivyo hivyoHujui kwamba kijiografia iran na saudia ziko zaidi mashariki mwa greenwinch mbele ya tanzania? Hizo nchi ziko mbele kimasaa, hata kama bakwata wangetangaza kesho ni iddi hizo nchi zingetangulia tu kula iddi
Kufunga ni siku 30, ile ya 29 kama mwezi umeandama basi siku ya 30 hamfungi na inakuwa eid ila kama 29 mwezi haujaandama basi 30 mnafunga ili kumaliziaIran kwa washia pamoja na vita vyao kesho wanaangusha ngamia MashaAllah nako Saudia chimbuko la sunni nako kesho ni shughuli yani middle east yote kesho ni bata batani
Inashangaza tanzania imekuwa kawaida kusherekea sikukuu hizi siku ambazo ni tofauti na tunaowaangalia kama ndio chimbuko la dini lilipotokea.
Viongozi wa dini kwetu kwanini wamekuwa viburi inakuwaje kenya wauone mwezi tz tusiuone? wenzetu mwezi wanautafuta kwa darubini na wanuona sa kama hawajauona kwanini waidanganye dunia?
Ina maana iran na saudia wanajidanganya kwa kuutafuta mwezi kwa darubini hadi mwezi uje uonekane kesho ukiwa mkubwa sio muandamo tena.
Binafsi Eid nakula kesho na bata nishalianza saivi yani waambieni bakwata washachelewa.
Haha
swala lilianza siku ya kufunga muft wenu muft ubwabwa akakataa na kusogeza mbele ilipaswa tuanze kufunga trh 18 siku ya jumatano ya majivu.Kufunga ni siku 30, ile ya 29 kama mwezi umeandama basi siku ya 30 hamfungi na inakuwa eid ila kama 29 mwezi haujaandama basi 30 mnafunga ili kumalizia
Note;siku ya 30 ndio mwisho wa kufunga iwe mwezi umeandama au haujaandama eid lazima iwepo