Waliotaka kuvuruga mkutano wa Chadema Singida wadhibitiwa

Waliotaka kuvuruga mkutano wa Chadema Singida wadhibitiwa

Hii ndiyo weakness ya Chadema.
Mtu anasimama kwenye jukwaa anasema "People's Power"

Halafu anasema "Mtazame huyo mtu wa pembeni yako,kama hasemi " people's power",basi huyo ni jasusi."

Inawezekana vipi ufanye public meeting halafu uulize,mbona wengine waliohudhuria siyo Chadema?
 
Siasa gani hii.
This is chaos.
Kama Chadema wamechoka wapumzike.
Hii ndio dawa ya CCM, siasa za kubembelezana zimetosha. Inatakiwa watekaji nao wawekwe mtu kati hivi wachomwe moto hadharani ndio huu ujinga utaisha. Saa mkutano wa chadema wewe CCM unaenda kuvuruga ili upate nini?
 
Hii ndiyo weakness ya Chadema.
Mtu anasimama kwenye jukwaa anasema "People's Power"

Halafu anasema "Mtazame huyo mtu wa pembeni yako,kama hasemi " people's power",basi huyo ni jasusi."

Inawezekana vipi ufanye public meeting halafu uulize,mbona wengine waliohudhuria siyo Chadema?
Wapi wamesema hayo? Hao walitaka kuanza zomea zomea na kurusha mawe ndio wamegundulika ndio kuanza kupigwa. Au hukuona yaliyotokea jana Kondoa kikundi kimekuja kikaanza kumzomeq Mnyika. Sasa leo mmewahiwa mmeanza kulia lia.

Nasema hivi CCM ni kipigo tu ndio tutaheshimiana, ikiwezekana hata hao wasimamizi wa uchaguzi wanaoiba kura wapigwe hadharani ndio tutaheshimiana.
 
Ila siasa bhana,

Hii imetokea kwa chadema bc mtasema wametumwa na ccm.
Ila ingetokea kwa ccm mngesema wananchi wamewakataa ccm

😂
Tofautisha kumkataa mtu na kufanya fujo. Watu wakikataa watazomea and all that, ila sio kuanza kurusha mawe sijui kufanya fujo hizo ni siasa za kishamba. Samia hakubaliki ila umewahi ona anazomewa kokote? Hao CCM waache siasa za kitoto, kama wanajiamini waweke tume huru waone kama wanapendwa au lah.
 
Hii ndio dawa ya CCM, siasa za kubembelezana zimetosha. Inatakiwa watekaji nao wawekwe mtu kati hivi wachomwe moto hadharani ndio huu ujinga utaisha. Saa mkutano wa chadema wewe CCM unaenda kuvuruga ili upate nini?
Hawa watu (watekaji), wanajitambulisha kwa maneno kuwa wao ni polisi, lakini hawana zaidi cha kuwatambulisha upolisi wao, na hata taratibu zao za kuwachukuwa watu siyo za kipolisi
Kuna siku haya uliyo yaeleza hapa yatatokea kweli.

Na kwa vile polisi wenyewe kila mara wanakana kuwa wao hawahusiki na matendo hayo ya utekaji, sijui hao polisi watalichukuliaje tukio la namna hiyo!

Kuna mfano wa yule mtu wa mkoani Mara; nadhani anaitwa Zacharia na wale watu waliosemekana walikuwa ni usalama wa Taifa. Sijui suala hilo lili isha vipi?

Nami nasubiri kwa hamu, hawa watekaji yawatokee, tujue serikali isiyotambua uwepo wa utekaji watalichukulia vipi jambo hilo.
 
Nasema hivi CCM ni kipigo tu ndio tutaheshimiana, ikiwezekana hata hao wasimamizi wa uchaguzi wanaoiba kura wapigwe hadharani ndio tutaheshimiana.
Tutakapofika huku...; hivi kweli inawezekana tukafika huko?
Nadhani polisi wataua sana..

Sasa hivi bado wanaamini sana kwamba vitisho vya utekaji na uuaji vinatosha kuzuia tusiende huko; ndiyo maana wamekazania sana wimbo wa AMANI, na kusahau HAKI inayojenga amani hiyo.
 
Ccm ndio wana siasa za kishamba!sasa mambo gani hayo?!!mtu upate kilema cha kudumu kwa mambo ya kijinga ndio maana wazungu wanatuona waafrika kama SOKWE TULIOCHANGAMKA TU!!wewe ccm kwenye mkutano wa cdm unaenda kutafuta nini?!
No reform No election 🇹🇿
 
Back
Top Bottom