Waliotaka kuvuruga mkutano wa Chadema Singida wadhibitiwa

Waliotaka kuvuruga mkutano wa Chadema Singida wadhibitiwa

Tutakapofika huku...; hivi kweli inawezekana tukafika huko?
Nadhani polisi wataua sana..
Kwanza naomba sana tusifike huko ingawa kuna dalili si nzuri. Ikitokea hivyo Polisi hawataua!
Imeshatokea sehemu nyingi duniani. Wananchi walitafuta njia za kukabiliana na Polisi.
Polisi wanaishi katika jamii na Familia zao, watakuwa na machaguo magumu.
Jambo muhimu tusifikirie hata kufikan huko ! Sote tuzuie kwa njia yoyote tusifike huko, si kwema ni hatari
Sasa hivi bado wanaamini sana kwamba vitisho vya utekaji na uuaji vinatosha kuzuia tusiende huko; ndiyo maana wamekazania sana wimbo wa AMANI, na kusahau HAKI inayojenga amani hiyo.
Nimeangalia siku mbili tatu kuna kitu kinatisha. Kwanza, wanaomuunga mkono Gwajima wanaongezeka wakisema wazi tena katika Kamera. Pili, Wananchi wanasema bila kujificha kwasababu kuna 'tipping point' imefikia. Kumbuka Rais Lincoln alisema '' You can fool all the people some of the time and some of he people all the time, but you can't fool all the people at all time
 
CHADEMA na sisi CCM tukianza kuwapiga wafuasi wenu kwenye mikutano yetu tusisikie mkilia lia
 
Back
Top Bottom