Waliosoma Umbwe, Ushirika Salim Magogo amefariki

Waliosoma Umbwe, Ushirika Salim Magogo amefariki

RIP jamaa alisumbuliwa na nn tena?
Pingili ya uti wa Mgongo iliachana akawa anashindwa hata kukaa akafanyiwa Oparation Akawa wanaendelea vizuri ikarudi tena akafanyiwa operation nyingine Hali ikaanza kubadilika akapelekwa KCMC nadhani mauti yamemkuta huko!
 
Poleni wanaUmbwe kwa kumpoteza mwenzetu...kuna umoja wa Wanaumbwe ambao bado ni mchanga tuliuanzisha kama team ya football,tupo Dar wengi na tunashiriki mashindano mbalimbali,karibuni mjiunge kama walezi au members!
 
Rest in peace
Da jamaa namkumbuka vzuri Ushirika
Alikua mcheza mpira mzuri
 
R.I.P brii,nimesoma naye darasa moja HGL mwaka 2007 -2009
 
Back
Top Bottom