Waliosoma Umbwe, Ushirika Salim Magogo amefariki

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
-He was Great friend Pale Umbwe
-He was great footballer playing number 9
-He was Arsenal FC fan

Ameugua kwa muda mrefu akafanyiwa Operation pale MOI ikashindikana akafanyiwa tena naona Mungu Amemuita

Rest In Peace!



IMG_20161229_131942.jpg



‪+255 713 949 556‬ 20161229_110903.jpg
 
Pole sana Magogo Jamaa nilifanya naye kazi AccessBank nyenyere branch mwanza mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi. Amina
 
Ni ndugu yangu wa damu,amefariki Leo majira ya saa nne hivi asubuhi.Atazikwa kesho wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro,Kijiji cha Rundugai....
 
Back
Top Bottom