Asee pole sana nduguu! Mungu awape farajaNi ndugu yangu wa damu,amefariki Leo majira ya saa nne hivi asubuhi.Atazikwa kesho wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro,Kijiji cha Rundugai....
Duu!!; inamana sisi tunafuata?Mbele yake nyuma yetu apumzike kwa Amani
Waliosoma Longoi,Umbwe na Ushirika ......-He was Great friend Pale Umbwe
-He was great footballer playing number 9
-He was Arsenal FC fan
Ameugua kwa muda mrefu akafanyiwa Operation pale MOI ikashindikana akafanyiwa tena naona Mungu Amemuita
Rest In Peace!
View attachment 451659
View attachment 451619
Umbwe nimepita pale 2004-2006. RIP