Naliona bweni langu la Jamhuri pale. Niliishi Cell D. Huo uwanja wa basketball upo karibu na town way pale Kwa Mbunge Kanjibai njia ya kuelekea Coast.

Miaka hiyo ilikuwa usafiri wa uhakika kwenda Mtwara ni meli tu. Barabara haikupitika kirahisi.

Mwalimu Mnelamwana alishawahi kunipa adhabu ya kung'oa visiki kule forest kama unaenda chuo Cha ualimu ufundi. Alifanya kurusha jiwe na kusema mwisho wa adhabu yako ni pale na ukimaliza adhabu uje kuripoti. Sikwenda kuripoti maana ilikuwa ni mtego wake kwani ukienda kuripoti huwa anakuja kukagua na kurusha Tena jiwe huku akisema mwisho wa adhabu yako sio hapa bali ni pale (anarusha jiwe upya).

All in all, hapa nilijifunza discipline kwenye maisha. Kwa sasa Mimi ni Civil Engineer.
Mv maendeleo na Canadian sprit zilibamba sana enzi hizo afu bus German Voyage siku mbili ndio unafika.
Namkumbuka sana Mrs Kilimba yule muuguzi alikuwa poa sana.
Mnelamwana yule mhuni zilikuwa hazipandi hadi nahamia Moshi Tech kwa Mpande.
Ekoni wa Ekoni pamoja na Ngari walikuwa poa sana bila kumsahau Mshkaji Kisuu
 
Naliona bweni langu la Jamhuri pale. Niliishi Cell D. Huo uwanja wa basketball upo karibu na town way pale Kwa Mbunge Kanjibai njia ya kuelekea Coast.

Miaka hiyo ilikuwa usafiri wa uhakika kwenda Mtwara ni meli tu. Barabara haikupitika kirahisi.

Mwalimu Mnelamwana alishawahi kunipa adhabu ya kung'oa visiki kule forest kama unaenda chuo Cha ualimu ufundi. Alifanya kurusha jiwe na kusema mwisho wa adhabu yako ni pale na ukimaliza adhabu uje kuripoti. Sikwenda kuripoti maana ilikuwa ni mtego wake kwani ukienda kuripoti huwa anakuja kukagua na kurusha Tena jiwe huku akisema mwisho wa adhabu yako sio hapa bali ni pale (anarusha jiwe upya).

All in all, hapa nilijifunza discipline kwenye maisha. Kwa sasa Mimi ni Civil Engineer.
We ni zao la Mwaka Gani hapo MTS?
 
tano zipi shule za ufundiziko 9 sasa
Hujasoma comments zangu za juu..!! Nimesema hivi, shule za ufundi zile za zamani ndo zilisheheni mashine zote muhimu kwenye kujifunza ufundi. Tano hizo ni hizi hapa;
1. Ifunda Technical sec school
2. Mtwara Technical Sec School
3. Moshi Technical Sec School
4. Tanga Technical Sec School
5. Mazengo Technical Sec School

Hizi za sasa huwezi zilinganisha na hizo tano nilizozitaja hapo juu..!!
 
Partical ya Moshi Technical nipo hapa from KARUME 33.

Moto " KUTII, KUWAJIBUKA NA KUZIBUNI MBINU ZA KAZI"

Nimesoma Plumbing (CIVIL).
Engineering science ilinifanya niione Mechanics ya Advance ni nyepesi sana wakati wenzangu wanalia.
Technical Drawing ya Form 1 na 2 ya Ifunda ilinifanya nione Drawing ya pale FoE (CoET kwa sasa) UDSM (Dr. Elias by then) kuwa ni nyepesi sana
 
Hujasoma comments zangu za juu..!! Nimesema hivi, shule za ufundi zile za zamani ndo zilisheheni mashine zote muhimu kwenye kujifunza ufundi. Tano hizo ni hizi hapa;
1. Ifunda Technical sec school
2. Mtwara Technical Sec School
3. Moshi Technical Sec School
4. Tanga Technical Sec School
5. Mazengo Technical Sec School

Hizi za sasa huwezi zilinganisha na hizo tano nilizozitaja hapo juu..!!
kwa maono yako mkuu hata Iyunga sijaiona hapo
 
sahihi huwa mnateleza sana mkifika Engineering school
Yaani kabisa. Na nilipokuwa Technical college (Mbeya tech wakati huo) masomo ya engineering science ya O-leve (Ifunda) yalinipa mtelezo sana darasani. Repeatition zilikuwa nyingi sana.

Na kwa kusema ukweli, kumchanganya mtu aliyetoka technical school na aliyetoka shule ya kilimo kwenye darasa moja na wote wasome engineering, kulikuwa kunamrudisha nyuma sana huyu wa technical school. Hivi kwa mfano, nimetoka Ifunda, nikaenda Mbeya Tech then nafika FoE (UDSM) unanichanganya darasa moja na aliyetoka shule ya kilimo, akasoma A level PCM, ni kunirudisha nyuma mimi. Maana almost mambo mengi ni kama marudio
 
kwahiyo unakuwa unawagongea tu bila kujali huyu katoka Mzumbe wala kibaha
 
Kwa uzoefu wangu watu waliosoma vyuo vya ufundi diploma ukimuweka na PCM aliyeiva na kuzoea kukata nyanga huyu ndugu wa ufundi hawezi furukuta kwenye theory ,ni wazuri kwa practical ila ni wachovu sana kwenye hesabu,ila wanaweza sana kazi za maabara ,bahati mbaya elimu yetu ya juu module nyingi ni kumeza meza
 
Back
Top Bottom