mucho886
Senior Member
- Dec 1, 2013
- 169
- 41
Duh pole sana Kombaha alikuwa na mikwara mingi sana.. We ulimaliza lini?marehemu Kombaha aliwahi kunipa kofi mpaka chini mtu mzma nikawa sijielewi, afu akaenda kwa kipingu akamwambia niondoke mimi abaki yeye AU aondoke yeye nibaki mimi