Waliosoma Makongo High School karibuni

Waliosoma Makongo High School karibuni

Sitomsahau marehemu Miraji. Siku moja akitikimbiza na baiskeli kutoka Mwenge tukaingia kwenye kalavati nae akatufuata humo tulikuwa wengi hacha tumshushie kichapo . Hiyo cku sitahisahau kamwe.

Marehemu Miraji alikuwa anapenda sana sifa, alimpiga jamaa makonzi kwao Area C kisa tuu jamaa alikuwa amevaa Uniform hakafu hajachomekea
 
Longway yupo wapi kwa sasa? Na ana hali gani kwani ta aondoke Makongo hadi sasa ni miaka 29 + aliyokuwa nayo, nahisi atakuwa mzee sana.
 
Karibu wachangiaji wote hajamsahau marehemu miraji.. Lakini hakuna hata mmoja aliemtaja Marehemu Kombaha aliekuwa anafundisha kifaransa. Jamani alikuwa mtata balaa.. Hakuna yeyoye aliefundishwa nae?
 
Duh!namkumbuka sana mkaanga sumu(r.i.p),bruce,bab side.
Bwawa la samaki lilichimbwa na wanafunzi kwa hisani ya marehemu miraji,late lt.maundi mzee wa nyundo.
 
Jamaa alikuwa analazimisha kila mtu anunue kitabu cha kifaransa,mpaka leo ninacho.alikuwa mikwara ya kutosha.
 
nakumbuka wakat nipo form one babu chacha alinikimbiza akanipa fimbo ya mgongo nilikuwa nazulula nje enzi izo alikuwa na tabia yakushika mazima galz
 
Duh!namkumbuka sana mkaanga sumu(r.i.p),bruce,bab side.
Bwawa la samaki lilichimbwa na wanafunzi kwa hisani ya marehemu miraji,late lt.maundi mzee wa nyundo.

mkuu, Bab Side yupo shule ya Lord Baden kwa Kipingu
 
duu hiii shule noma sana nakumbuka niliambiwa na mama mosha nisirudishia apparatus kwenye practical physics ili wengine waangalizie duu.. miraji rip babu chacha shenzi kabisa.. wapi master

Mama Mosha alikuwa nux sana
 
Daah Kitambo sana. Ng'umbi, ss hv ni Lt.Col, Meja Harun Mayebe a.k.a Master,Kanyika,Afande Miraji alikuta darasa hatujafagia,akatuambia 'ntawapiga mpaka konda akidai nauli unabaki kusema Miraji! Miraji!Miraji!Miraji.
 
Karibu wachangiaji wote hajamsahau marehemu miraji.. Lakini hakuna hata mmoja aliemtaja Marehemu Kombaha aliekuwa anafundisha kifaransa. Jamani alikuwa mtata balaa.. Hakuna yeyoye aliefundishwa nae?

marehemu Kombaha aliwahi kunipa kofi mpaka chini mtu mzma nikawa sijielewi, afu akaenda kwa kipingu akamwambia niondoke mimi abaki yeye AU aondoke yeye nibaki mimi
 
Longway yupo wapi kwa sasa? Na ana hali gani kwani ta aondoke Makongo hadi sasa ni miaka 29 + aliyokuwa nayo, nahisi atakuwa mzee sana.

Alistaafu Jeshi 2010 akiwa Headmaster wa Airwing High School
 
Duh!namkumbuka sana mkaanga sumu(r.i.p),bruce,bab side.
Bwawa la samaki lilichimbwa na wanafunzi kwa hisani ya marehemu miraji,late lt.maundi mzee wa nyundo.

daah hivi Mkaanga Sumu amekufa.?? Jamaa alikataaga kututajia jina lake akasema tumuite tuu Mkaanga sumu, kipindi hiko tunaingia Maabara kwenye Practial za Bios
 
Duh!namkumbuka sana mkaanga sumu(r.i.p),bruce,bab side.
Bwawa la samaki lilichimbwa na wanafunzi kwa hisani ya marehemu miraji,late lt.maundi mzee wa nyundo.

afande Bryceson maarufu Bruce, alikuwa Patron, namkumbuka vizuri sana Babu Side afande mwenye tumbo kubwa sana, sijui depo alipitaje
 
Baada ya kifo cha Afande Miraji nakumbuka aliletwa Afande Steve
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom