Daah Kitambo sana. Ng'umbi, ss hv ni Lt.Col, Meja Harun Mayebe a.k.a Master,Kanyika,Afande Miraji alikuta darasa hatujafagia,akatuambia 'ntawapiga mpaka konda akidai nauli unabaki kusema Miraji! Miraji!Miraji!Miraji.
Wapi Mayebe,Mgongolwa,kisarika,Mwashiga,Madeghe n.k
man mchwa mwanae sasa hivi nasikia mwalimu hapo enzi zao wapo na kina budapest.. na jimbo lao kilio cha wanafunzi..