Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,449
- 9,739
habarini wana JF, napenda kuwakaribisha wadau waliosoma Makongo high school enzi hizo tukumbushane mambo mbalimbali ambayo kwa namna flani yalikufanya kutosahau maisha ya pale, mimi mpaka kesho siwezi kumsahau afande Miraji (marehemu sasa) alinipiga konzi mpaka nikakaa chini kwenye sakafu badala ya kiti, vilevile siwezi kusahau JORO nilikuwa mdau mkubwa, karibuni wadau na nyinyi mtoe ya kwenu...........