POMPO
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 6,690
- 2,402
kiswahili kumbe kigumu sana, aise, kweli hili ni gazet mfu lol,ambao waliamua kuhamia CCM wakifuatwa na wafuasi wao kutoka katika chama hicho.
kiswahili kumbe kigumu sana, aise, kweli hili ni gazet mfu lol,ambao waliamua kuhamia CCM wakifuatwa na wafuasi wao kutoka katika chama hicho.
Hapo kwenye blue hiyo huwa ipo au wewe ni mbishi wa kijiji?tanzania daima bath paper
600+256=800 very interesting. Keep us posted.
Ukiisha kula chakula na kushiba na kubanwa haja kubwa utakwenda chooni( faragha) ukishajisaidia( waste products) Naomba usikate toilet paper uvae sarawili yako uende kwa marafiki zako uone utakavyo fuatwa na NZI. Katika vitu muhimu katka nyumba huwezi kukidharau choo na viambata vyake(maji, sabuni, tissues(TP). Toilet papers are very vital in every day life.Source...Uhuru...The Toilet Paper
Katika tukio lingine la hivi karibuni lenye kudhihirisha kasi ya CCM kuibomoa CHADEMA, Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Tarime, kimevuna wanachama wapya 800 ambao awali walikuwa ni wanachama na wafuasi wa CHADEMA.
Wanachama hao ambao idadi yao imetimia takriban 800 wamekuwa wakiingia CCM kwa muda wa wiki tatu mfululizo tangu kumalizika kwa ziara ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA katika wilaya ya Tarime, ambapo wanachama zaidi ya 600 walijiunga wiki mbili zilizopita na 256 walijiunga na CCM jumanne iliyopita katika mikutano ya hadhara.
Mikutano hiyo ya hadhara ambayo inaendelea wilayani humo, jumanne ya juzi ilifanyika katika uwanja wa kituo cha Sirari, ukihutubiwa na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo, Rashid Bogomba, ulihudhuriwa na mamia ya wakazi wa eneo hilo na katika mkutano huo ndipo wanachama wengine 256 waliporudisha kadi za chadema na kujiunga na CCM na kutimiza idadi ya wanachama hao wapya kutoka chadema kutimia zaidi ya 800.
Wanachama hao wamedaiwa kuhamia CCM baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa , Freeman Mbowe kuwasimamisha uongozi viongozi wa CHADEMA wa wilaya hiyo ya tarime, ambao waliamua kuhamia CCM wakifuatwa na wafuasi wao kutoka katika chama hicho.
Source: Uhuru_ukurasa wa 8
basi cdm ni virusi wote,kila atakae ondoka ni kirusi?Virusi vyote vikiondoka ni heri, ili ibaki cream!
Rekebisha - watakuwa hawana mwanachama ! Sijui kama hii propoganda ina maana youote- ofcourse kuna kipindi CHADEMA waliitumia wakionyesha wanachama wa CCM kwa wingi wakiamia kwenye chama hao!Kama taarifa hii ni ya kweli basi mpaka kufikia 2015 Chadema wanaweza wasiwe na kiti cha Ubunge hata kimoja. Haiwezekani kila kukicha tupate taarifa za watu kukihama chama hiko na kisha tuendelee kujipa imani kuwa kipo salama na kitavuka bahari pamoja na mawimbi haya mazito ambayo chombo chao kimeshaonyesha udhaifu wa kuyakabili.
katika tukio lingine la hivi karibuni lenye kudhihirisha kasi ya ccm kuibomoa chadema, chama cha mapinduzi (ccm) wilayani tarime, kimevuna wanachama wapya 800 ambao awali walikuwa ni wanachama na wafuasi wa chadema.
Wanachama hao ambao idadi yao imetimia takriban 800 wamekuwa wakiingia ccm kwa muda wa wiki tatu mfululizo tangu kumalizika kwa ziara ya mwenyekiti wa taifa wa chadema katika wilaya ya tarime, ambapo wanachama zaidi ya 600 walijiunga wiki mbili zilizopita na 256 walijiunga na ccm jumanne iliyopita katika mikutano ya hadhara.
Mikutano hiyo ya hadhara ambayo inaendelea wilayani humo, jumanne ya juzi ilifanyika katika uwanja wa kituo cha sirari, ukihutubiwa na mwenyekiti wa ccm wa wilaya hiyo, rashid bogomba, ulihudhuriwa na mamia ya wakazi wa eneo hilo na katika mkutano huo ndipo wanachama wengine 256 waliporudisha kadi za chadema na kujiunga na ccm na kutimiza idadi ya wanachama hao wapya kutoka chadema kutimia zaidi ya 800.
Wanachama hao wamedaiwa kuhamia ccm baada ya mwenyekiti wa chadema taifa , freeman mbowe kuwasimamisha uongozi viongozi wa chadema wa wilaya hiyo ya tarime, ambao waliamua kuhamia ccm wakifuatwa na wafuasi wao kutoka katika chama hicho.
source: Uhuru_ukurasa wa 8