katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
- Thread starter
-
- #61
Sikia upuuzi upi bhana si kweli ukiangalia wanawake wengi hawataki single men wanataka marriage men why they know how to care.Huwa anaandika point ila ndani ya points zake lazima aharibu sehemu
Uzi wake ni mzuri ila ukisoma mstari wa mwisho unaona kaharibu
Rekebisha wewe wanielewe vizuriUnamuhaibisha mwl wako wa hesabu za kuzidisha
Ukiwa single boy lazima uhonge ?
Makubwa kiraru tena ?? [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] yeye hana ikute ananisingizia kuwa mimi ninacho kumbe yeye ndio anachokiraru.Hana utulivu wa mawazo, alinichekesha sabosabo alisema ana kiraru[emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi mwenyewe sijaelewa ulichoandika. Naona kila sehemu umezidisha mara 4. Sjajua nne ni nini
Naona unifundishe kimalkia.Sikia upuuzi upi bhana si kweli ukiangalia wanawake wengi hawataki single men wanataka marriage men why they know how to care.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio asilimia kubwa mnahonga sana na faida hakuna hela ambazo ungetunzia familia.Ukiwa single boy lazima uhonge ?
Sasa ambaye hana ndoa atatokaje nje ya ndoa ni lazima waliondani ya ndoa ndio watakaotoka njeWanaume waliooa ndio wanaongoza kwa kutoka nje ya ndoa...sasa si bora usioe tu
Tumechukua ushauri wako wa kuacha kuhonga huo mwingine majaaliwaNdio asilimia kubwa mnahonga sana na faida hakuna hela ambazo ungetunzia familia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahaha,!!!!!Sasa ambaye hana ndoa atatokaje nje ya ndoa ni lazima waliondani ya ndoa ndio watakaotoka nje
Unamademu 4 kwa wiki wakija unawapa kila mmoja 50 na ukipiga 50×4 unapata laki 200 na 200 x (wiki nne za uhongaji) 4 unapata laki 800 umenielewa sasa hii ingeweza kuinua familia kwa mwezi na wewe kabisa.Mimi mwenyewe sijaelewa ulichoandika. Naona kila sehemu umezidisha mara 4. Sjajua nne ni nini
Usihonge kama hana mpango wakuolewa na wewe.Tumechukua ushauri wako wa kuacha kuhonga huo mwingine majaaliwa
Oa bhana oaTumechukua ushauri wako wa kuacha kuhonga huo mwingine majaaliwa
You are exactly right hereUsihonge kama hana mpango wakuolewa na wewe.
Bora uwekeze kwenye biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
We ungekua na kaka au hao kaka zako wasioa ungewashauri waoe wakiwa na umri gani au kipato kiasi gani
Yes ni bora kuwekeza kwenye inshu za maana ikiwemo familia mtoto akikuwa unalakujivuniaYou are exactly right here
Kwa stress utakazopata unaweza poteza hela mara mia ya mahesavu ulipiga bila kujua lakini, unaweza furahia ndoa only ukibahatika kupata mwanamke anayejitambua ambao ni wachache sana kwa zama hizi, kwa sahiv kuoa ni kama kubet tatu mzukaWaambie wajitambue mf. Kila demu wako unampa 50 ×4 kwa wiki ni 200 je 200×4 ni laki 800 sasa jiulize swali hiyo ukioa haitasaidia familia ??
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji134][emoji134] kwelii?Mie ningekuwa mwanaume nisingeoa
Kinachotofautiana ni matumizi tu ya pesa. uwe single uwe umeoa, hela yako lazima itaenda kwa mwanamke.Ndio asilimia kubwa mnahonga sana na faida hakuna hela ambazo ungetunzia familia.
Sent using Jamii Forums mobile app