Wengine wanaweza mbnaaaa, unakuta mahusiano miaka 3 hawaaonjani had siku ya honey moon. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muda mwingine dini zina masharti ambayo kimantiki hayatekelezeki, hivi mtu akae mpaka atakapooa bila sex?
Labda anaishi dunia yake mwenyewe, kuonjana lazima bn[emoji28].
Wengine wanaweza mbnaaaa, unakuta mahusiano miaka 3 hawaaonjani had siku ya honey moon. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
We unaweza?Wengine wanaweza mbnaaaa, unakuta mahusiano miaka 3 hawaaonjani had siku ya honey moon. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemshauri kwenye comment inayofuatia ndugu yangu...!!Good point lakin sasa mdau hujampabushauri nn kifanyike
Nshakua na ke wa hivyo sio ni changamoto sema yeye alikua hana antenamkuu kabla y ndoa kna kauli aliisema nkaihis bi utani ila naikumbk mpk leo.. "YAANI KUSEX NILIVYOKUA SIPENDI"
Wewe kama mimi tu[emoji3][emoji3][emoji3]nyiiie heee milichaguliwa? Mlilazimishana?
Nawaza tu mimi huyu ninavyopenda mjegeje [emoji28][emoji28]
Subiti wenye ndoa zao waje wakushauri
Chukua ushauri huu mkuuKama ni ndoa kwajili ya mimba basi ww tafta mke mwingine huyo akizaa mpe talaka ww fanya mambo yako hutakaa uenjoy ndoa yako kwasababu haumfurahishi kwenye tendo na hawez kukuambia
sawa mkuu napitia shauri zote humu.Chukua ushauri huu mkuu
Ikaamuliwa?? Dahh kama uko zama za kale.
Huna maamuzi yako ?? Ona sasa unayopitia.
Swali zuri[emoji3][emoji3][emoji3]nyiiie heee milichaguliwa? Mlilazimishana?
Nawaza tu mimi huyu ninavyopenda mjegeje [emoji28][emoji28]
Subiti wenye ndoa zao waje wakushauri
Kama una mke wa hivi katoe sadaka ya shukrani, I would risky my life for such a womanMkeo anatakiwa yy ndio ajenge mazingira ya ww kumuweka ukuni. Anatakiwa jioni ashapika katafuta movie nzuri ya kuangalia au kashaangalia ratiba ya dstv anajua muda fulani kutakua na kipindi kizuri anajiandaa ukitoka kazini au mishemishe anakuandaa vizur kwa kukupa maji uoge kachai kidogo alaf mnakula mkimaliza kashaweka mambo safi mnakaa sebuleni mnachek vipindi hapa na pale alafu anakusogeza chumbani ambapo atakua kaandaa kulingana na siku yenyewe vi masaji vya hapa na pale alafu anakupa nyama. Sasa kama hawez hayo mfundishe na kama hataki piga chini zipo pisi kibao zinattafuta watu wa kuwafanyia hayo. Alafu pia unauhakika hiyo mimba ni yako au unaharibiwa ramani ya maisha yakoπππππππ
Sio kama nina mke wa hivi unatakiwa umtengeneze na sio yule mama wa nyumbani tu hata awe kaajiriwa bado hiyo ratiba anaiweza kama ana mapenzi ya dhati juu yako na kama ww unajua nafasi yako kama mwanaume wakeKama una mke wa hivi katoe sadaka ya shukrani, I would risky my life for such a woman
Acha uongo wewe. Hakuna kitu kama hicho, hizo ni hadithi za uongo tu.Hii Dunia hatuishi na watu tu Wengine ni mapepo.Ndiyo maana tunaambiwa unapotaka kuoa mshirikishe Mungu .Wapo watu wameolewa na mapepo na mashetani BIla kujua Kwa sababu ya tamaa za ngono .Hawa mapepo Kwa macho ya kawaida wanaonekana ni watu ila Kwa macho ya rohoni sio watu ni mapepo yaliyovaa sura ya mwanadamu .
Kama wanaweza kumbadilisha mtu awe ngombe au mbuzi alafu anachinjwa watu wanakula nyama hiyo wakidhani wanakula nyama ya ngombe kumbe ni nyama ya mtu watashindwaje kujibadilisha kuonekana kama binadamu halisia.
Ndyo maana mnaambiwa msali na kumwomba Mungu kabla ya kuoa wengi wanadhani kuoa ni suala dogo dogo.
Na malengo ya huyo mwanamke shetani ni kukunyima penzi makusudi kabisa Ili mradi akusababishe uishi katika dhambi ya uzinzi .Ili utakapokufa unapokuwa katika hali hiyo Unakuwa Moja Kwa Moja wewe ni motoni alafu yeye anakuwa anakuwa amefanikisha mission yake ya kukupeleka motoni.
Mbaya zaidi unapokufa ndipo unapokuwa unagundua kumbe nilikuwa sijaoa mtu Bali shetani .Na huko motoni Kwa sababu huyo ni Pepo ana mamlaka zaidi Yako na anakutesa Tena huko huko motoni .Hii Dunia sio ya kawaida.
YaaaaniWewe kama mimi tu
[emoji2]