Ila walokole mna mambo jaman! HihHii Dunia hatuishi na watu tu Wengine ni mapepo.Ndiyo maana tunaambiwa unapotaka kuoa mshirikishe Mungu .Wapo watu wameolewa na mapepo na mashetani BIla kujua Kwa sababu ya tamaa za ngono .Hawa mapepo Kwa macho ya kawaida wanaonekana ni watu ila Kwa macho ya rohoni sio watu ni mapepo yaliyovaa sura ya mwanadamu .
Kama wanaweza kumbadilisha mtu awe ngombe au mbuzi alafu anachinjwa watu wanakula nyama hiyo wakidhani wanakula nyama ya ngombe kumbe ni nyama ya mtu watashindwaje kujibadilisha kuonekana kama binadamu halisia.
Ndyo maana mnaambiwa msali na kumwomba Mungu kabla ya kuoa wengi wanadhani kuoa ni suala dogo dogo.
Na malengo ya huyo mwanamke shetani ni kukunyima penzi makusudi kabisa Ili mradi akusababishe uishi katika dhambi ya uzinzi .Ili utakapokufa unapokuwa katika hali hiyo Unakuwa Moja Kwa Moja wewe ni motoni alafu yeye anakuwa anakuwa amefanikisha mission yake ya kukupeleka motoni.
Mbaya zaidi unapokufa ndipo unapokuwa unagundua kumbe nilikuwa sijaoa mtu Bali shetani .Na huko motoni Kwa sababu huyo ni Pepo ana mamlaka zaidi Yako na anakutesa Tena huko huko motoni .Hii Dunia sio ya kawaida.
Ndio sababu. Kumbe hata mimba tu mlipeana sababu ya nyege, si kupendana. Madhara ya ndoa ya mkeka hayo. Mi sina cha kushauri!hapana nlimjaza mimba..ndo ikaamuliwa
tuoane..na mimba yenyew ilikua siku nlimfosi sana tusex..
Alitaka ndoa Mrs Fulani basi.Nimebahatika kupata mke na nina muda wa miezi 9 sasa. Cha ajabu toka ndoa mpaka leo mke hajawahi kua na hisia namie.
Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza. Na nisipoomba sex yeye hana haja ya kutamani tendo la ndoa mpaka nianze mie, na hata nikianza sioni ushirikiano.
Wakuu niko dilemma naombeni mawazo yenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio sababu. Kumbe hata mimba tu mlipeana sababu ya nyege, si kupendana. Madhara ya ndoa ya mkeka hayo. Mi sina cha kushauri!
Mabadiliko gani hayo ya ujauzito mnayoya-overrate ilihali kamwe hayajawahi kubadilikia kuchukia pesa kama si mbwembwe tu za baadhi ya Ke?kaka kama ni mjamzito kuwa mpole kabisa, ni kawaida kwa wanawake wakiwa katika hali hiyo ya ujauzito kupoteza hisia kabisa ila siyo wote...hata tabia pia wanabadilika atakudhalau, Majibu siyo na kero nyingi nyingi unaweza ukaona anakudharau ila ni mabadiliko ya homoni mwilini mwake yanamuendesha
Uogope usiogope ndoa maisha ni wewe mwenyewe wala si JF.Jamii Forum imenifungua Sana kuhusu ndoa mpaka naiogopa ndoa yenyewe sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaogopa dhambi ya kuzini eti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamii Forum imenifungua Sana kuhusu ndoa mpaka naiogopa ndoa yenyewe sasa.
Kwa Wakristo unapaswa uamini kwanza uwezo wa MUNGU (Yesu) kuwa hakuna kinachoshindikana kwake.kwahyo mkuu mke wa namna hyo ni wakumfanyaje
Umenena vyema Sana mkuu👊Hii Dunia hatuishi na watu tu Wengine ni mapepo.Ndiyo maana tunaambiwa unapotaka kuoa mshirikishe Mungu .Wapo watu wameolewa na mapepo na mashetani BIla kujua Kwa sababu ya tamaa za ngono .Hawa mapepo Kwa macho ya kawaida wanaonekana ni watu ila Kwa macho ya rohoni sio watu ni mapepo yaliyovaa sura ya mwanadamu .
Kama wanaweza kumbadilisha mtu awe ngombe au mbuzi alafu anachinjwa watu wanakula nyama hiyo wakidhani wanakula nyama ya ngombe kumbe ni nyama ya mtu watashindwaje kujibadilisha kuonekana kama binadamu halisia.
Ndyo maana mnaambiwa msali na kumwomba Mungu kabla ya kuoa wengi wanadhani kuoa ni suala dogo dogo.
Na malengo ya huyo mwanamke shetani ni kukunyima penzi makusudi kabisa Ili mradi akusababishe uishi katika dhambi ya uzinzi .Ili utakapokufa unapokuwa katika hali hiyo Unakuwa Moja Kwa Moja wewe ni motoni alafu yeye anakuwa anakuwa amefanikisha mission yake ya kukupeleka motoni.
Mbaya zaidi unapokufa ndipo unapokuwa unagundua kumbe nilikuwa sijaoa mtu Bali shetani .Na huko motoni Kwa sababu huyo ni Pepo ana mamlaka zaidi Yako na anakutesa Tena huko huko motoni .Hii Dunia sio ya kawaida.
Hakuna wa kukusaidia zaidi ya wewe mwenyewe mkuu.Duh..Unaua mkuu..
Yani unashauri jamaa avumilie kusex mara tatu ndani ya miezi tisa?Uongo mtupu jiongelee wewe tu
LibidoYani unashauri jamaa avumilie kusex mara tatu ndani ya miezi tisa?
Sex kila baada ya wastani wa miezi mitatu? Hehehe😅
asikudanganye awaye kiumbe yoyote mkuu, hakuna mwanamke hapendi sex, ila tunachukia kufanya na watu tusio na hisia nao, Mimi mwenyewe nikiwa sikupendi nitakuambia nachukia sex mno, ila kiukhalisia nikiwa na mtu ninayempenda hata nikimtazama tu ninalowa...!!
Ulithibitishaje kama mimba ni yako?hapana nlimjaza mimba..ndo ikaamuliwa
tuoane..na mimba yenyew ilikua siku nlimfosi sana tusex..