"waliooa na walioolewa"

Nilijua utapagongea SENKSI tu!
Lakini ulichunga vimeo vile kibao broda!...Maana wale huwa wanalipia wenyewe gharama za eneo la tukio, mengine mnaelewana mkiwa huko!:D
hahahahaha!
kamgongee SENKSI stv!maanake ''ALIDUU ZE NIDIFUL'' kuna trekta moja pale linaitwa sijui ASHURA/SELINA...DAH!...''steve aliitengeneza njia ya bwana,na AKAYANYOOSHA MAPITO YAKE....''

watu WEWEEEEEEEEEEEEEEE
 
Si lazima. Tena nasema SI LAZIMA! Watu wanakosa kuaminiana, wanaondokewa na hofu ya Munfu ndani yao, tamaa zimezidi, na zaidi wanakosa mawasiliano ndani ya nyumba. Sababu ni nyingi mno na hata ukisema utaje zote nakuhakikishia hutamaliza maana wengine wana laana toka kwa mababu na mabibi zao. Hata wapendwe vipi, hata wahudumiwe vipi, bado watatoka nje tuu
 
hahahahaha!
kamgongee SENKSI stv!maanake ''ALIDUU ZE NIDIFUL'' kuna trekta moja pale linaitwa sijui ASHURA/SELINA...DAH!...''steve aliitengeneza njia ya bwana,na AKAYANYOOSHA MAPITO YAKE....''

watu WEWEEEEEEEEEEEEEEE
He..:confused:...BRODA!
Hivi mywife wako huwa hatembelei huku?
 
hommie bana!sasa wewe unataka uogopwe kama mungu?

THE WAY I SEE THINGS NI KWAMBA wanaume wengi hawatarajii wake zao wanaweza kuwa wakorofi HASA UKISHAWAWEKA NDANI JUMLA JUMLA...

WEWE SI MWANANDOA na hautakiwi kabisa kuchangia.sorry

mwaga dataaz kiongozi
BTW:picnic papo vizuri:D:D

Nilijua utapagongea SENKSI tu!
Lakini ulichunga vimeo vile kibao broda!...Maana wale huwa wanalipia wenyewe gharama za eneo la tukio, mengine mnaelewana mkiwa huko!:D
Nikisoma katikati ya mistari, hapa naona kuna jambo linalozungumziwa ambalo liko kinyume na maadili ya ndoa. Ila kiukweli Pikiniki hapafai! Nitarudi tena Ar.
 
hahahahaha!
kamgongee SENKSI stv!maanake ''ALIDUU ZE NIDIFUL'' kuna trekta moja pale linaitwa sijui ASHURA/SELINA...DAH!...''steve aliitengeneza njia ya bwana,na AKAYANYOOSHA MAPITO YAKE....''

watu WEWEEEEEEEEEEEEEEE
He!

He..:confused:...BRODA!
Hivi mywife wako huwa hatembelei huku?
Usijali broda. Shemejiye niko hapa nanasa matukio. Namba ya mshiki hii hapa!!!!!
 
75% ya wanandoa naowafahamu wana mahusiano ya mapenzi nje ya ndoa wanawake kwa waume .
Naomba kuuliza hivi ni jambo la lazima kwa wana ndoa kuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa? Ni nini kinapelekea kuwepo kwa tabia hii.!!!!!!!
Ndugu, hapa naona kila mtu anakupiga chenga tu usipate jibu. Hata humu JF ukiuliza wangapi wameshawahi kuwa cheated, au ni wahanga wa cheating, server itazidiwa. Kila unakopita malalamiko ni hayohayo. Wengine wana ushahidi, wengine wanahisi tuu. Simu ya mwenzi, email, gari etc ni kama kambi ya kipindupindu. Watu wameweka password mpaka kwenye naniliu!
Swali ni: WHY?
 
75% ya wanandoa naowafahamu wana mahusiano ya mapenzi nje ya ndoa wanawake kwa waume .
Naomba kuuliza hivi ni jambo la lazima kwa wana ndoa kuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa?

Si lazima kuwa na mahusiano nje ya ndoa kabisa, kwani hata madhara yake yanajulikana wazi. Na kama unaweza kutulia bora utulie maana huko hakuna lolote zaidi ya hasara tu.

Mara nyingi mambo kama haya hupelekea hali hii;

1. Historia, au malezi ya kushudia wanandoa wakiwa na mahusiano nje ya ndoa, na kutaka nao kuonja!

2. Matarajio binafsi katika ndoa kama vile kuuziwa simu kiubungo, au kumpata yule asiyeendana na tabia zako kama vile usafi, ulokole, nk. hii inakufanya unaswe na msafi au mlokole mwenzio kwa urahisi sana.

3. Ndoa za kisasa za kuonana na kuoana ndani ya wiki moja tu, utampata ali/uliyemtamani, na si kumpenda. Utakaporealize hilo nini kitafyatia?....

4. Ndoa za kimila, zinazopelekea wasiopendana kuoana na kuwaacha wapenzi wao waoane na wengine, je ni kweli wataachana? Si rahisi......

5. Kutokuwa na confidence kwa fisrt lovers (this is especially for women), kuwa hata mkikutana baada ya miaka 10, 15.... uwezekano wa kufanya ni mkubwa sana.

6. Kuachana na mpenzi wako wa zamani kwa kubagain, hii ni hatari sana kwa ndoa tarajiwa. Kambi ya mapenzi unapaswa kunyea daima, si kama kambi zingine.

7. Kutokuwa na mafundisho ya ndoa kwa kiwango tosha.

8. Tamaa ya mapenzi, au vitu vingine kama pesa nk.

9. Kubadilika kwa hali ya uchumi, mfano kama mlioana baada ya kujenga, kuwa na usafiri, na kazi nzuri; then vyote vikatoweka. Kama mpenzi wako alivipenda vitu hivyo, basi ataanza kuwatafuta walionao.

10. Ushauri mbovu/mbaya kwa marafiki/jamaa, kuwa iwapo mwenzio anatoka nje ya ndoa, basi ili umkomoe nawe utoke. Hapa dawa ya moto sio moto, kama ilivyo ada. Unapaswa kutafuta suluhu nyingine, na si hivyo.

Just to mention some........
 
75% ya wanandoa naowafahamu wana mahusiano ya mapenzi nje ya ndoa wanawake kwa waume .
Naomba kuuliza hivi ni jambo la lazima kwa wana ndoa kuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa? Ni nini kinapelekea kuwepo kwa tabia hii.!!!!!!!

Inaelekea wewe unafahamiana zaidi na vicheche!
 
si lazima, mie ni mwana ndoa na sina uhusiano wowote na sidhani kama kuna kitu kimenipungukia kwenye ndoa yangu.
usiombee........ukijagundua utapata gonjwa la moyo.....omba........ Mungu sana......
 
75% ya wanandoa naowafahamu wana mahusiano ya mapenzi nje ya ndoa wanawake kwa waume .
Naomba kuuliza hivi ni jambo la lazima kwa wana ndoa kuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa? Ni nini kinapelekea kuwepo kwa tabia hii.!!!!!!!

It is likely kuwa mtaa unaoishi ni Mtaa wa wazinzi na wanaona kuwa na uhusiono nje ya ndoa ni fasheni. Mtaani kwetu mke mmoja mume mmoja.

Mahusiano nje ya ndoa yapo ila cha msing ni kuvumiliana ili kuondoa kasoro zilizopo baina ya wanandoa
 
Back
Top Bottom