"waliooa na walioolewa"

MWAMOSHI

Senior Member
Feb 25, 2010
103
22
75% ya wanandoa naowafahamu wana mahusiano ya mapenzi nje ya ndoa wanawake kwa waume .
Naomba kuuliza hivi ni jambo la lazima kwa wana ndoa kuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa? Ni nini kinapelekea kuwepo kwa tabia hii.!!!!!!!
 
....sasa haijulikani unawafahamu wanandoa WOTE DUNIANI,au ni wa hapo mtaani kwenu
 
-Duh,kwa hiyo mimi siyo mwanandoa inabidi hapa nichungulie tu kupata uzoefu.lol
 
FINE...! KUTOKUWA NA HOFU YA MUNGU ndo kunachangia yote haya, mengine ni matokeo tu.......TUMRUDIE MUNGU WETU TUONE KAMA MAOVU HAYATATOKOMEA KATI YETU
 
Ukweli upo kwenye hoja yako kwa kiasi fulani, japokuwa si accurately kwa percentage uliyoweka!
Sababu ni nyiiiingi sana zinazopelekea mahusiano nje ya ndoa, na ungekuwa msomaji mzuri wa mabandiko hapa ungeshazipata baadhi!
Lakini kwa kukusaidia tu, si lazima kuwa na mahusiano nje ya ndoa.
Nitakuwekea link ambazo zitakuonyesha sababu!
 
si lazima, mie ni mwana ndoa na sina uhusiano wowote na sidhani kama kuna kitu kimenipungukia kwenye ndoa yangu.
 
ukweli upo kwenye hoja yako kwa kiasi fulani, japokuwa si accurately kwa percentage uliyoweka!
sababu ni nyiiiingi sana zinazopelekea mahusiano nje ya ndoa, na ungekuwa msomaji mzuri wa mabandiko hapa ungeshazipata baadhi!
lakini kwa kukusaidia tu, si lazima kuwa na mahusiano nje ya ndoa.
nitakuwekea link ambazo zitakuonyesha sababu!

asante sana nasubiri hizo link. Zitanisaidia kwa hili nalotaka kulifanyakatika jamii
 
Kutoheshimiana kumepungua sana ndani ya ndoa
hommie bana!sasa wewe unataka uogopwe kama mungu?

FINE...! KUTOKUWA NA HOFU YA MUNGU ndo kunachangia yote haya, mengine ni matokeo tu.......TUMRUDIE MUNGU WETU TUONE KAMA MAOVU HAYATATOKOMEA KATI YETU
THE WAY I SEE THINGS NI KWAMBA wanaume wengi hawatarajii wake zao wanaweza kuwa wakorofi HASA UKISHAWAWEKA NDANI JUMLA JUMLA...

-Duh,kwa hiyo mimi siyo mwanandoa inabidi hapa nichungulie tu kupata uzoefu.lol
WEWE SI MWANANDOA na hautakiwi kabisa kuchangia.sorry

Ukweli upo kwenye hoja yako kwa kiasi fulani, japokuwa si accurately kwa percentage uliyoweka!
Sababu ni nyiiiingi sana zinazopelekea mahusiano nje ya ndoa, na ungekuwa msomaji mzuri wa mabandiko hapa ungeshazipata baadhi!
Lakini kwa kukusaidia tu, si lazima kuwa na mahusiano nje ya ndoa.
Nitakuwekea link ambazo zitakuonyesha sababu!
mwaga dataaz kiongozi
BTW:picnic papo vizuri:D:D
 
mwaga dataaz kiongozi

BTW:picnic papo vizuri:D:D
Nilijua utapagongea SENKSI tu!
Lakini ulichunga vimeo vile kibao broda!...Maana wale huwa wanalipia wenyewe gharama za eneo la tukio, mengine mnaelewana mkiwa huko!:D
 
Hata kama kuna ka ukweli naamini kutakuwa hakuna ukweli wowote kwenye hiyo % iliyotumika. Kwa mazoea ya jinsi ambavyo tafiti hufanyika kuweka % ya utafiti wako ni lazima useme jinsi ulivyopata hizo sampling zako na idadi ya watu waliotumika na ikibidi na maeneo pia. Ila si haba bandiko linaonekana na ndio hivi tunachangia!!
 
Back
Top Bottom