Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,301
Yaani nimekaa muda mrefu nikikumbuka jina la hii siagi bila mafanikio...
Asante umenikumbusha
We si kichwa maji mkuu..ulikuwa ujijui.??
Yaani nimekaa muda mrefu nikikumbuka jina la hii siagi bila mafanikio...
Asante umenikumbusha
Hili BEETROOT linapatikana huko nyumbani bibie@King'asti?
![]()
BeetRoot
![]()
BEETROOT na ubora wake na tiba.Nizuri kulitumia kama juice au mboga. wengine hutumia kwenye salad (kachumbari)ila nina faida sana kwa anajua kulitumia.Linasaidia kulainisha kusaga chakula tumboni,linasafisha damu na kuimarisha mwili.kwenye Tiba husaidia kuimarisha mwili kwa mwenye udhaifu,kwa yule mwenye presha ya kupanda ni chakula kwake kutumia.
We si kichwa maji mkuu..ulikuwa ujijui.??
Unataka tuanze kutoleana lugha mbovu?
Heri yangu kichwa maji wewe ambaye ni takoo maji kila mwenye kutaka kuloweka wake mwiko anasokomeza tu
Mkuu usipende kujibizana na watu kama hawa. utajishusha kaa nao mbali.
Nisaidei tafadhali wapi wanauza flaxseeds hapa Tanzania?Haya nimeshakusamehe daktari. Pole na kazi ila usisahau familia bwana manake sie ndio nguzo.
Juzi nimesoma kuhusu flaxiseeds na matumizi yake. Huwa nazila kwenye breakfast pamoja na oats and cereals ila sikuwahi kujua kama zina faida hivyo. Tunaelimika kila siku.
Uwe na mapumziko mema baba.
Inaonyesha wewe unayo Maradhi ya (Constipation) unataka flaxseeds Mkuu.@georgeallenNisaidei tafadhali wapi wanauza flaxseeds hapa Tanzania?
Nilikuwa siendi shule tena nursery pasipo kuwekea blue band kamkate kangu pamoja na ka juice kangu...dah kitambo, mwishoni mwa miaka ya 80
you are absolutely right, "Mzizimkavu. Thanks a lot for your concern!Inaonyesha wewe unayo Maradhi ya (Constipation) unataka flaxseeds Mkuu.@georgeallen
Hazina Ubora kwa sababu wamezichakachuwa hao wanaozitengeneza bibie Angel NylonCha kushangaza hizo bidhaa nyengine kama blue band Na cowboy bado zipo lkn hazina ubora kama za zamani. Kwa nini?
Mimi nakumbuka nilikuwa naombea yaishe ilil nipate kopo la kutengenezez magari.
wallah wanatia uchungu. siku hizi mimi hunilishi blue band maana naona kama naweka mafuta kwenye mkate.Hazina Ubora kwa sababu wamezichakachuwa hao wanaozitengeneza bibie Angel Nylon
Na Tanbond
Umeniwahi sekunde tu mkuu, nime i misi sana Tanbond!