Waliokuwepo enzi hizo unakumbuka nini?

Waliokuwepo enzi hizo unakumbuka nini?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
11062677_806854109394783_5229067477673306531_n.jpg
 
MziziMkavu umeyakuta wapi haya.... Si mchezo enzi za Pride mafuta unagondoa kwa kijiko.
 
Last edited by a moderator:
Dah!!! kitambo sana hii...

Hapo limesahaulika kopo la lile wese la "Kimbo"
 
Kopo la plastic la kimbo ile ya lita tatu ama nne nadhani lina historia nzuri sana. Wakati nasoma boarding wale wanafunzi wa mkoa huo walikuwa wanatembelewa sana na. Sasa hizo kimbo ndio zilikuwa container. Pilau ndii na nyama kibao. Yaani madada wakija wanakuta kimbo za last month tulishaosha kabisa hehehe.
Dah!!! kitambo sana hii...

Hapo limesahaulika kopo la lile wese la "Kimbo"
 
Halafu MziziMkavu, leo niko kwenye mood ya kudeka hivi. Mbona haujanitumia salamu za pasaka lakini?
 
Last edited by a moderator:
Waambiwa sifa mojawapo kubwa ya Mswahili ni kuhifadhi makopo ya bidhaa zilizokwisha tumika...

Makopo kama hayo yakishatumika ndio yalikuwa yahifadhiwa chumvi, sukari na wengine ndio yalikuwa makopo yetu ya kujirushia maji ya kuoga bafuni au la walikuta toilet lafanya kazi ya kujiswafi...

Ukienda kwa ushagoo huko wamkuta mama au baba kalihifadhia mbeguze za mahindi au maharage...

Kopo la plastic la kimbo ile ya lita tatu ama nne nadhani lina historia nzuri sana. Wakati nasoma boarding wale wanafunzi wa mkoa huo walikuwa wanatembelewa sana na. Sasa hizo kimbo ndio zilikuwa container. Pilau ndii na nyama kibao. Yaani madada wakija wanakuta kimbo za last month tulishaosha kabisa hehehe.
 
Hiyo recycling ndio iliokoa mazingira yetu yasijae takataka aisee. Can you imagine unazalisha taka za plastic kwa kiasi gani kwa mwaka? Mifuko ya plastic imekuwa too cheap ukienda dukani unajibebea tu.
Waambiwa sifa mojawapo kubwa ya Mswahili ni kuhifadhi makopo ya bidhaa zilizokwisha tumika...

Makopo kama hayo yakishatumika ndio yalikuwa yahifadhiwa chumvi, sukari na wengine ndio yalikuwa makopo yetu ya kujirushia maji ya kuoga bafuni kama la walikuta toilet lafanya kazi ya kujiswafi...

Ukienda kwa ushagoo huko wamkuta mama au baba kalihifadhia mbeguze za mahindi au maharage...
 
Haya nimeshakusamehe daktari. Pole na kazi ila usisahau familia bwana manake sie ndio nguzo.

Juzi nimesoma kuhusu flaxiseeds na matumizi yake. Huwa nazila kwenye breakfast pamoja na oats and cereals ila sikuwahi kujua kama zina faida hivyo. Tunaelimika kila siku.

Uwe na mapumziko mema baba.
Ahhh Mpenzi nimesahau kabisa kama leo hii pasaka ninakutakia pasaka njema unisamahe nina wahudumia wagonjwa si unajuwa tena Daktari hana sikukuu? Unisamehe bibie King'asti
 
Nilikuwa siendi shule tena nursery pasipo kuwekea blue band kamkate kangu pamoja na ka juice kangu...dah kitambo, mwishoni mwa miaka ya 80

Dah we kwenu mlikuwa matawi enzi hizo. Mie before skuli nlikua napiga kiporo cha ugali na chai. Hahahaaa jamani tumetoka mbali
 
Haya nimeshakusamehe daktari. Pole na kazi ila usisahau familia bwana manake sie ndio nguzo.

Juzi nimesoma kuhusu flaxiseeds na matumizi yake. Huwa nazila kwenye breakfast pamoja na oats and cereals ila sikuwahi kujua kama zina faida hivyo. Tunaelimika kila siku.

Uwe na mapumziko mema baba.
Hili BEETROOT linapatikana huko nyumbani bibie@King'asti?

11106374_779722028801367_1086761581_n.jpg

BeetRoot
11096747_778968548876715_1313613816_n.jpg


BEETROOT na ubora wake na tiba.Nizuri kulitumia kama juice au mboga. wengine hutumia kwenye salad (kachumbari)ila nina faida sana kwa anajua kulitumia.Linasaidia kulainisha kusaga chakula tumboni,linasafisha damu na kuimarisha mwili.kwenye Tiba husaidia kuimarisha mwili kwa mwenye udhaifu,kwa yule mwenye presha ya kupanda ni chakula kwake kutumia.
 
Da! Umenikumbusha mengi pamoja na hivi:-

Chai Green Label,
Unga wa Bruga,
Unga wa Yanga...

Leyland Albion & CD,
Landrover 108 & 109,
Peugeot 404 & 504...

Sabuni ya mawingu,
Gardenia...

Shanti & Rays
Yu & Ayu

Hahahhaha nimekumbuka 'reverse call' na mengine mengi.
 
Mzee alikuwa anapenda sana Prod. ya Voil (Mwanza) hata mimi nilipoanza kujitegemea na hadi sasa nahisi nina ubinafsi fulani napenda sana kutumia vitu vyetu (TZ) labda nikikose
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom