Enzi hizo hakukuwa na nursery, zilikuwa zinaitwa shule za vidudu.
sisi tuliita peraperatori (Preparatory)
Enzi hizo hakukuwa na nursery, zilikuwa zinaitwa shule za vidudu.
Watoto wa siku hizi sijui kama wanaubunifu huo.
Nasikia kila kitu huko ni mchina feki tupu huko hata maji ya kunywa yapo feki huko Angel Nylonwallah wanatia uchungu. siku hizi mimi hunilishi blue band maana naona kama naweka mafuta kwenye mkate.
mara ya mwisho nliponunua samli cowboy kwa ajili ya kupikia chapati, sikuielewa kwa kweli. haina ladha na rangi yake si kama ilivokua zamani. nilitumia mara moja tu, ilikaa mpaka nkaitupa.
Unataka tuanze kutoleana lugha mbovu?
Heri yangu kichwa maji wewe ambaye ni takoo maji kila mwenye kutaka kuloweka wake mwiko anasokomeza tu