bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,358
- 6,810
Ni kweli, mfano huwezi kulinganisha tiles za mchina za Sh. 8,000 kwa square meter na za muitaliano za sh. 50,000 kwa square meter, au masinki ya sh. 80,000 na yale ya 400,000 kila moja. Milango na madirisha ndiyo hayasemeki, mengine ukienda kwenye nyumba mpaka unaona huruma lakini unanyamaza.Jenga na wewe alafu ulete hizo gharama za chini ili uwatie moyo wengine!
Gharama za ujenzi zinategemea na eneo ulipo, nature ya kiwanja, materials unazotumia na aina ya wajenzi unaotumia na ukubwa na hadhi ya nyumba unayotaka jenga... Mtu akikutisha gharama wala zisikutikise, hamuwezi fanana!
Wengine wamejenga nyumba ya kawaida tu, sio ghorofa na millioni 150 TZS zimekatika na bado nyumba haina finishing nje!
Huu si msingi wa kawaida na kiukweli hata sijui kwa nini umeamua kujenga hapo, inaonekana ni eneo amabalo bado halijajengwa sana kwa nini ujenge structure ya gharama hivi wakati ungeweza hata kuhamisha mahali pa kukaa nyumba hapo ukaacha kwa matumizi mengine?
Huu si msingi wa kawaida na kiukweli hata sijui kwa nini umeamua kujenga hapo, inaonekana ni eneo amabalo bado halijajengwa sana kwa nini ujenge structure ya gharama hivi wakati ungeweza hata kuhamisha mahali pa kukaa nyumba hapo ukaacha kwa matumizi mengine?
Ni kweli kwa msingi huo , kwa mtu asiye jua mambo ya ujenzi anaweza akaogopa sana, ila hukuwa na sababu ya kujenga eneo hilo ,zaidi ya kutaka tu kuchoma pesa zako
Kichwa changu kimetimia kabisa , hivyo vijumba vya chumba tatu , nimejenga kadhaa, hapa nilipo najenga nyingine kibaha huko. For fun though maana napenda sana kuhamia nyumba mpya ,kuna feeling zakeHivi mkuu kichwa chako kina akili kweli? Yaani huo msingi unauona mkubwa? Yaan kuongezeka kama tofali 300 ndio kunakufanya utoe povu kiasi hicho?
Unapoambiwa kichwa chako hakina akili unatakiwa ujitathmini! Aliyekwambia nimetumia 6 Millions plus nani? Hiyo list niliyoweka hapo juu ni BOQ, Hizo ndio estimates(Makadirio) nilizopewa na mchora ramani, Na wala haikufika hiyo gharama, Pia kama unayosema sijui unajenga wapi huko na ni mzoefu ungejua kabisa katika ujenzi gharama kubwa si tofali. Usipende kurukia vitu tu usivyoelewa. Mfano kwenye list kuna gharama za mbao(1.35M), Unafikiri nilienda kununua mbao wakati za kukodi zipo?Kichwa changu kimetimia kabisa , hivyo vijumba vya chumba tatu , nimejenga kadhaa, hapa nilipo najenga nyingine kibaha huko. For fun though maana napenda sana kuhamia nyumba mpya ,kuna feeling zake
Nashangaa tu unavyotumia pesa zako bila huruma na siwezi kutoa povu kwa msingi kama huo
Mada inasema waliojenga wanapenda kutishia wasiojenga , nashangaa ulicho present ndo hicho hicho, kama msingi tu unalazimisha ule 6 millions plus , unatuma salamu gani kwa wanaotaka kuanza ujenzi?
Kulikuwa na sababu gani ya kuweka ile list hapa wakati unajua kuwa utatumia less than that?Unapoambiwa kichwa chako hakina akili unatakiwa ujitathmini! Aliyekwambia nimetumia 6 Millions plus nani? Hiyo list niliyoweka hapo juu ni BOQ, Hizo ndio estimates(Makadirio) nilizopewa na mchora ramani, Na wala haikufika hiyo gharama, Pia kama unayosema sijui unajenga wapi huko na ni mzoefu ungejua kabisa katika ujenzi gharama kubwa si tofali. Usipende kurukia vitu tu usivyoelewa. Mfano kwenye list kuna gharama za mbao(1.35M), Unafikiri nilienda kununua mbao wakati za kukodi zipo?
Picha imeambatana na maelezo kuwa ni mkadirio ya msingi kutoka kwa mchora ramani, Kama zilikuwani gharama halisi zilizotumika kwenye ujenzi isingekuwa makadirioKulikuwa na sababu gani ya kuweka ile list hapa wakati unajua kuwa utatumia less than that?
Umeelewa maana ya huu uzi kweli?
Inaonekana huu ni ujenzi wako wa kwanza mr akili nyingi,Picha imeambatana na maelezo kuwa ni mkadirio ya msingi kutoka kwa mchora ramani, Kama zilikuwani gharama halisi zilizotumika kwenye ujenzi isingekuwa makadirio
FAHAMU MAKISIO YA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA YAKO (+255-657-685-268)Nimejaribu kufuatilia kauli za waliojenga nyumba. Huwa wanapenda kuwaogopesha waliopanga kuwa ujenzi ni gharama.
Huwezi kutana na mtu akakutia moyo hata kidogo. Lengo la wengi waliojenga ni ku play god. Yani wanapenda waheshimike na kujionesha kuwa wana mawe marefu.
Mimi ninapopiga gharama za ujenzi, napata gharama za chini kama ambavyo Magufuli alifanya kwenye ujenzi wa hostel za UD. Tukienda kwa stail yake, mbona kila mtu atakuwa na ka mjengo!
Nimejaribu kufuatilia kauli za waliojenga nyumba. Huwa wanapenda kuwaogopesha waliopanga kuwa ujenzi ni gharama.
Huwezi kutana na mtu akakutia moyo hata kidogo. Lengo la wengi waliojenga ni ku play god. Yani wanapenda waheshimike na kujionesha kuwa wana mawe marefu.
Mimi ninapopiga gharama za ujenzi, napata gharama za chini kama ambavyo Magufuli alifanya kwenye ujenzi wa hostel za UD. Tukienda kwa stail yake, mbona kila mtu atakuwa na ka mjengo!
Unajenga mkoa gani kiongzi?usishangae sana kuna watu wanapigwa sana ktk ujenzi ila take it from me ujenzi sio garama kiivyo gharama ni finishing na finishing inategemea na uwezo wako mm nimejenga ya kupangisha yenye kila kitu ila vyuma 2 vyote vina vyoo ndani pia public toilet,jiko,sebule,dining tena raman ya kisasa tu imeenda 7M hadi juuu na shimo la choo na hapo kiwanja kina slope sana upande mmoja ulibeba tofali nyingi sanaaa ndo imefika hiyo 7M now navuta nguvu kidogo nianze finishing.
nilikosea bora ningepiga underground sabab ni nyumba za kupangisha eneo lililobaki nitajenga underground
zingatia
unapotaka kujenga usiulize sana ushauri kqa watu utavunjika moyo kila mtu ktk ujenzi kapitia changamoto zake wewe jilipue tu pia kuna wale wa kukusanya pesa hadi zifike milions ndo anaanza while mwingine akipata hata laki tano anaenda ongeza kozi hata round 2 we jenga tu utaweza kulingana na mfuko wako hata wauza mchicha wanajenga kwan wanamamilioni jilipue bhana