Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,238
- 31,148
Fisadi papa is back where he belongs, amesharudi kwa mafisadi wenzake.Tujifunze kutofautisha majungu na ukweli /uhalisia.
2015 Mbowe alifanya tukio la kipumbavu kuikabidhi chadema kwa fisadi papa.
Hasipokubali kutoka hadharani na kukiri udhaifu huo. Huo mzimu wa tamaa ya pesa utaendelea kumtafuna yeye na chama anachokiongoza.