Walioiuza CHADEMA mwaka 2015 sasa hivi ndio wanachukua hatamu huku wakijinadi hawanunuliki, Watanzania hawajasahau

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
14,277
Points
2,000

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
14,277 2,000
Ndugu zangu,

Nianze tu kwa kusema Watanzania si wajinga, wanakumbuka yote yaliyotokea mwaka 2015. CHADEMA inatumia nguvu kubwa kuwanadi walioshiriki kujipatia hela kwenye siasa za mwaka 2015 huku ikiwanadi kuwa eti hao ndio ''chadema asili'' na ''hawanunuliki''. Kundi linalojinasibu kuirudisha Chadema kwenye mstari kama ile Chadema kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 linaundwa na wafuatao, nitaweka kauli zao walizosema wakihalalisha ujasiriasiasa wao kwa kushibisha matumbo yao huku sasa wakijinasibu eti wao ndio wanataka ''chadema ya zamani''.
 1. Freeman Mbowe; huyu anarudi, huku akisema kuwa ''CCM isituchagulie Mwenyekiti, mwaka 2015 alisikika akimsifia Lowassa na Sumaye kuwa ''hatuwezi kuacha mtu anayekuja na mamilioni ya kura ili kumridhisha mtu mmoja (Dr.Slaa), alimalizia ''Chama ni watu''. Kumbuka wale wananchi wengi wa mwaka 2015 ndio watapiga kura 2020.
 2. Godbless Lema; Mwaka 2015 alitumia mistari ya Biblia akitabiri ''anguko la CCM'' kwa ujio wa EL Chadema huku akikana matamshi yake aliyowahi kumtusi EL kipindi cha kampeni za Ubunge Arumeru Mashariki. Je anaushawishi kwa watanzania?
 3. Jacob Boniface; Huyu naweza kusema ni limbukeni wa madaraka, siku hizi ukimwita jina lake ''Jacob'' haitikia anataka umwite ''Meya''. Huyu na kundi lake walikusanyika ofisini kwa Lowassa pale Mikocheni wakimshukuru kwa kuwasaidi kushinda udiwani, umeya na ubunge Dar. alisikika akisema ''Mh.Lowassa bila wewe sisi si kitu, umetubeba kwenye uchaguzi'' akikana haya maneno lazima apate laana, je anaushawishi kwa Watanzania?
 4. Peter Msingwa; Huyu kipindi cha kampeni akihojiwa Channel 10 alisema '' EL ni turufu kubwa kwani kwa utafiti waliofanya waligundua ni asilimia 5 tu ya watanzania ndio humnyima kura mtu sababu ya tuhuma za ufisadi'', hivyo wao wameamua kumpa EL kijiti cha urais ili Chadema inufake. Je Msigwa anaushawishi kwa wananchi?
 5. John Mrema; huyu ndiye alikuwa kinara akichukua nafasi ya Mnyika aliyesusa, yeye aliambatana na EL kila alipopita akiwa na kauli mbiu yake ''kama EL, Kingunge, Sumaye wametoka CCM nani atawaweza?'' kwasasa kabaki yeye na wenzake, je Watanzania watawasamehe?
 6. Halima Mdee n.k
Wapo wengi ila kwa sasa timu hii ya watu sita ndio kiini cha Chadema, wao ndio wanaona ''hawanunuliki'' japo njaa zao za mwaka 2015 bado zinawaondolea uhalali kusema ''hawanunuliki.

Nimalize tu kwa kusema kikundi hicho hapo juu hakiaminiki, kinanunulika na kwa sasa hawana uhalali kwa Watanzania.
 
mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Messages
2,071
Points
2,000

mikedean

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2018
2,071 2,000
Ahaaa kwa hiyonulitaka akina Sumaye,katambi,Lowassa,Waitara,Mtatiro,mwambe ndo wawe wanashinda?Halafu hao vyuma walioshinda wapigwe chini ?kweli hizi akili za mbuzi kabisaa.Hakuna wakati chama kimeimarika kama wakati huu kwa sababu tumebaki wenye mioyo ya chuma.Huku ukiwa na Moyo mlaini huwezi ukapita wala kuyaishi.Mara uvccm wakutishe,mara TISS wakutishe,mara TRA,mara polisi,Mara CCM wenyewe,mara mahakama,mara nk.hata wewe na vibiashara vyako ungekuwa Upinzani biashara inakuwa ya figisu tu.
 
mliberali

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Messages
6,521
Points
2,000

mliberali

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2012
6,521 2,000
Kweli Mbowe "BABA LAO" amewaliza wasaliti ndani ya chama, amemliza waziri mkuu mstaafu, amewaliza wanaccm, soon atamliza msajiri wa vyama , atamliza Magufuli hata kama 2020 atapitishwa na dola lakini gharama ikuwa kubwa sana
 
BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
1,679
Points
2,000

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
1,679 2,000

Wapo wengi ila kwa sasa timu hii ya watu sita ndio kiini cha Chadema, wao ndio wanaona 'hawanunuliki'' japo njaa zao za mwaka 2015 bado zinawaondolea uhalali kusema ''hawanunuliki.

Nimalize tu kwa kusema kikundi hicho hapo juu hakiaminiki, kinanunulika na kwa sasa hawana uhalali kwa Watanzania.
Wala wasikuwangishe kichwa, maana jema lisilo kufaa ni sawa na baya lisilo kudhuru.
 
Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Messages
17,835
Points
2,000

Quinine

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2010
17,835 2,000
Ndugu zangu,

Nianze tu kwa kusema Watanzania si wajinga, wanakumbuka yote yaliyotokea mwaka 2015. CHADEMA inatumia nguvu kubwa kuwanadi walioshiriki kujipatia hela kwenye siasa za mwaka 2015 huku ikiwanadi kuwa eti hao ndio ''chadema asili'' na ''hawanunuliki''. Kundi linalojinasibu kuirudisha Chadema kwenye mstari kama ile Chadema kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 linaundwa na wafuatao, nitaweka kauli zao walizosema wakihalalisha ujasiriasiasa wao kwa kushibisha matumbo yao huku sasa wakijinasibu eti wao ndio wanataka ''chadema ya zamani''.
 1. Freeman Mbowe; huyu anarudi, huku akisema kuwa ''CCM isituchagulie Mwenyekiti, mwaka 2015 alisikika akimsifia Lowassa na Sumaye kuwa ''hatuwezi kuacha mtu anayekuja na mamilioni ya kura ili kumridhisha mtu mmoja (Dr.Slaa), alimalizia ''Chama ni watu''. Kumbuka wale wananchi wengi wa mwaka 2015 ndio watapiga kura 2020.
 2. Godbless Lema; Mwaka 2015 alitumia mistari ya Biblia akitabiri ''anguko la CCM'' kwa ujio wa EL Chadema huku akikana matamshi yake aliyowahi kumtusi EL kipindi cha kampeni za Ubunge Arumeru Mashariki. Je anaushawishi kwa watanzania?
 3. Jacob Boniface; Huyu naweza kusema ni limbukeni wa madaraka, siku hizi ukimwita jina lake ''Jacob'' haitikia anataka umwite ''Meya''. Huyu na kundi lake walikusanyika ofisini kwa Lowassa pale Mikocheni wakimshukuru kwa kuwasaidi kushinda udiwani, umeya na ubunge Dar. alisikika akisema ''Mh.Lowassa bila wewe sisi si kitu, umetubeba kwenye uchaguzi'' akikana haya maneno lazima apate laana, je anaushawishi kwa Watanzania?
 4. Peter Msingwa; Huyu kipindi cha kampeni akihojiwa Channel 10 alisema '' EL ni turufu kubwa kwani kwa utafiti waliofanya waligundua ni asilimia 5 tu ya watanzania ndio humnyima kura mtu sababu ya tuhuma za ufisadi'', hivyo wao wameamua kumpa EL kijiti cha urais ili Chadema inufake. Je Msigwa anaushawishi kwa wananchi?
 5. John Mrema; huyu ndiye alikuwa kinara akichukua nafasi ya Mnyika aliyesusa, yeye aliambatana na EL kila alipopita akiwa na kauli mbiu yake ''kama EL, Kingunge, Sumaye wametoka CCM nani atawaweza?'' kwasasa kabaki yeye na wenzake, je Watanzania watawasamehe?
 6. Halima Mdee n.k
Wapo wengi ila kwa sasa timu hii ya watu sita ndio kiini cha Chadema, wao ndio wanaona ''hawanunuliki'' japo njaa zao za mwaka 2015 bado zinawaondolea uhalali kusema ''hawanunuliki.

Nimalize tu kwa kusema kikundi hicho hapo juu hakiaminiki, kinanunulika na kwa sasa hawana uhalali kwa Watanzania.
Uzuri ni kwamba CCM mnaicheza ngoma ya Chadema, hadi mmesahau kuwa mkiti wenu ana ziara kanda ya ziwa.
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Messages
5,147
Points
2,000

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2008
5,147 2,000
Yaani Chadema wako vizuri.. Baada ya kugundua kufanya makosa kama ya. NCCR/CUF ya kujaza watu wa usalama wa Taifa kwenye chama, wameamua kula nao sahani moja. Kila mmoja arudi aliko toka aka waambie wakuu wake kwamba Chadema wako vyema. Sio rahisi kukiua hiki chama na mamluki. Heko Mbowe piga kazi. Kuna siku historia ita kukumbuka
Kweli Mbowe "BABA LAO" amewaliza wasaliti ndani ya chama, amemliza waziri mkuu mstaafu, amewaliza wanaccm, soon atamliza msajiri wa vyama , atamliza Magufuli hata kama 2020 atapitishwa na dola lakini gharama ikuwa kubwa sana
 
Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
15,717
Points
2,000

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
15,717 2,000
Kwa haya yanayoendelea chadema wanakosea sana

Walianza kwa kukosea kumchukua lowassa

Yaani wakakkubali michezo ya ccm kutengeneza wapinzani wao wenyewe

Upinzani mwingine unatengenezwa hivi sasa upinzani kutoka ACT... inasikitisha sana
 
tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,539
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,539 2,000
Ndugu zangu,

Nianze tu kwa kusema Watanzania si wajinga, wanakumbuka yote yaliyotokea mwaka 2015. CHADEMA inatumia nguvu kubwa kuwanadi walioshiriki kujipatia hela kwenye siasa za mwaka 2015 huku ikiwanadi kuwa eti hao ndio ''chadema asili'' na ''hawanunuliki''. Kundi linalojinasibu kuirudisha Chadema kwenye mstari kama ile Chadema kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 linaundwa na wafuatao, nitaweka kauli zao walizosema wakihalalisha ujasiriasiasa wao kwa kushibisha matumbo yao huku sasa wakijinasibu eti wao ndio wanataka ''chadema ya zamani''.
 1. Freeman Mbowe; huyu anarudi, huku akisema kuwa ''CCM isituchagulie Mwenyekiti, mwaka 2015 alisikika akimsifia Lowassa na Sumaye kuwa ''hatuwezi kuacha mtu anayekuja na mamilioni ya kura ili kumridhisha mtu mmoja (Dr.Slaa), alimalizia ''Chama ni watu''. Kumbuka wale wananchi wengi wa mwaka 2015 ndio watapiga kura 2020.
 2. Godbless Lema; Mwaka 2015 alitumia mistari ya Biblia akitabiri ''anguko la CCM'' kwa ujio wa EL Chadema huku akikana matamshi yake aliyowahi kumtusi EL kipindi cha kampeni za Ubunge Arumeru Mashariki. Je anaushawishi kwa watanzania?
 3. Jacob Boniface; Huyu naweza kusema ni limbukeni wa madaraka, siku hizi ukimwita jina lake ''Jacob'' haitikia anataka umwite ''Meya''. Huyu na kundi lake walikusanyika ofisini kwa Lowassa pale Mikocheni wakimshukuru kwa kuwasaidi kushinda udiwani, umeya na ubunge Dar. alisikika akisema ''Mh.Lowassa bila wewe sisi si kitu, umetubeba kwenye uchaguzi'' akikana haya maneno lazima apate laana, je anaushawishi kwa Watanzania?
 4. Peter Msingwa; Huyu kipindi cha kampeni akihojiwa Channel 10 alisema '' EL ni turufu kubwa kwani kwa utafiti waliofanya waligundua ni asilimia 5 tu ya watanzania ndio humnyima kura mtu sababu ya tuhuma za ufisadi'', hivyo wao wameamua kumpa EL kijiti cha urais ili Chadema inufake. Je Msigwa anaushawishi kwa wananchi?
 5. John Mrema; huyu ndiye alikuwa kinara akichukua nafasi ya Mnyika aliyesusa, yeye aliambatana na EL kila alipopita akiwa na kauli mbiu yake ''kama EL, Kingunge, Sumaye wametoka CCM nani atawaweza?'' kwasasa kabaki yeye na wenzake, je Watanzania watawasamehe?
 6. Halima Mdee n.k
Wapo wengi ila kwa sasa timu hii ya watu sita ndio kiini cha Chadema, wao ndio wanaona ''hawanunuliki'' japo njaa zao za mwaka 2015 bado zinawaondolea uhalali kusema ''hawanunuliki.

Nimalize tu kwa kusema kikundi hicho hapo juu hakiaminiki, kinanunulika na kwa sasa hawana uhalali kwa Watanzania.
Wakati mikataba ya wizi inapitishwa na ccm, fedha za escrow JK anasema sio za umma, Magufuli na wanaccm wenzake walikuwa wanashangilia kama wenda wazimu, leo hao hao ndio wanajifanya wana uchungu na mali za umma. Wakati mkataba wa gas unapitishwa bungeni, Magufuli na wanaccm wenzako walikuwa wanahubiri tatizo la kukatika umeme litakuwa historia, leo anasema gas sio yetu imeuzwa na wajanja! Hapo bado mnaona watanzania ni wajinga?
 
mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
3,740
Points
2,000

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
3,740 2,000
Mkuu hivi hapo lumumba hamna cha kuripoti? Mngemsifia basi hata Polepole Kama unasema Chadema iliuzwa basi itakuwa sio ya hawa unaowataja ninavyoelewa mimi kitu ukikiuza kinakuwa sio chako kinakuwa cha aliyenunua ,Mh Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chadema
Ndugu zangu,

Nianze tu kwa kusema Watanzania si wajinga, wanakumbuka yote yaliyotokea mwaka 2015. CHADEMA inatumia nguvu kubwa kuwanadi walioshiriki kujipatia hela kwenye siasa za mwaka 2015 huku ikiwanadi kuwa eti hao ndio ''chadema asili'' na ''hawanunuliki''. Kundi linalojinasibu kuirudisha Chadema kwenye mstari kama ile Chadema kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 linaundwa na wafuatao, nitaweka kauli zao walizosema wakihalalisha ujasiriasiasa wao kwa kushibisha matumbo yao huku sasa wakijinasibu eti wao ndio wanataka ''chadema ya zamani''.
 1. Freeman Mbowe; huyu anarudi, huku akisema kuwa ''CCM isituchagulie Mwenyekiti, mwaka 2015 alisikika akimsifia Lowassa na Sumaye kuwa ''hatuwezi kuacha mtu anayekuja na mamilioni ya kura ili kumridhisha mtu mmoja (Dr.Slaa), alimalizia ''Chama ni watu''. Kumbuka wale wananchi wengi wa mwaka 2015 ndio watapiga kura 2020.
 2. Godbless Lema; Mwaka 2015 alitumia mistari ya Biblia akitabiri ''anguko la CCM'' kwa ujio wa EL Chadema huku akikana matamshi yake aliyowahi kumtusi EL kipindi cha kampeni za Ubunge Arumeru Mashariki. Je anaushawishi kwa watanzania?
 3. Jacob Boniface; Huyu naweza kusema ni limbukeni wa madaraka, siku hizi ukimwita jina lake ''Jacob'' haitikia anataka umwite ''Meya''. Huyu na kundi lake walikusanyika ofisini kwa Lowassa pale Mikocheni wakimshukuru kwa kuwasaidi kushinda udiwani, umeya na ubunge Dar. alisikika akisema ''Mh.Lowassa bila wewe sisi si kitu, umetubeba kwenye uchaguzi'' akikana haya maneno lazima apate laana, je anaushawishi kwa Watanzania?
 4. Peter Msingwa; Huyu kipindi cha kampeni akihojiwa Channel 10 alisema '' EL ni turufu kubwa kwani kwa utafiti waliofanya waligundua ni asilimia 5 tu ya watanzania ndio humnyima kura mtu sababu ya tuhuma za ufisadi'', hivyo wao wameamua kumpa EL kijiti cha urais ili Chadema inufake. Je Msigwa anaushawishi kwa wananchi?
 5. John Mrema; huyu ndiye alikuwa kinara akichukua nafasi ya Mnyika aliyesusa, yeye aliambatana na EL kila alipopita akiwa na kauli mbiu yake ''kama EL, Kingunge, Sumaye wametoka CCM nani atawaweza?'' kwasasa kabaki yeye na wenzake, je Watanzania watawasamehe?
 6. Halima Mdee n.k
Wapo wengi ila kwa sasa timu hii ya watu sita ndio kiini cha Chadema, wao ndio wanaona ''hawanunuliki'' japo njaa zao za mwaka 2015 bado zinawaondolea uhalali kusema ''hawanunuliki.

Nimalize tu kwa kusema kikundi hicho hapo juu hakiaminiki, kinanunulika na kwa sasa hawana uhalali kwa Watanzania.
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
14,277
Points
2,000

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
14,277 2,000
Ahaaa kwa hiyonulitaka akina Sumaye,katambi,Lowassa,Waitara,Mtatiro,mwambe ndo wawe wanashinda?Halafu hao vyuma walioshinda wapigwe chini ?kweli hizi akili za mbuzi kabisaa.Hakuna wakati chama kimeimarika kama wakati huu kwa sababu tumebaki wenye mioyo ya chuma.Huku ukiwa na Moyo mlaini huwezi ukapita wala kuyaishi.Mara uvccm wakutishe,mara TISS wakutishe,mara TRA,mara polisi,Mara CCM wenyewe,mara mahakama,mara nk.hata wewe na vibiashara vyako ungekuwa Upinzani biashara inakuwa ya figisu tu.
tabia ni kama ngozi, haibadiliki, hawa wauzaji wenu wa mwaka 2015 wataendelea kuwauza miaka ijayo.
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
14,277
Points
2,000

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
14,277 2,000
Mkuu hivi hapo lumumba hamna cha kuripoti? Mngemsifia basi hata Polepole Kama unasema Chadema iliuzwa basi itakuwa sio ya hawa unaowataja ninavyoelewa mimi kitu ukikiuza kinakuwa sio chako kinakuwa cha aliyenunua ,Mh Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chadema
tabia ni kama ngozi, kama walichuuza mwaka 2015, watawachuuza miaka ijayo.
 
Forum statistics

Threads 1,392,347
Members 528,599
Posts 34,106,189
Top