Walioiuza CHADEMA mwaka 2015 sasa hivi ndio wanachukua hatamu huku wakijinadi hawanunuliki, Watanzania hawajasahau

He is a Freeman.... Kuna majina ya kuwaita watoto aisee kumbe! Sio mtoto unamuita Jaffo, sijui Kangi ukikosea kidogo tu badala ya Jaffo unasema Jasho na huyo mwingine anaitwa Bangi!
 
Hizi statement unazotoa ni sahihi kabisa na hii inaonyesha hao watu upo karibu nao.
Kuna rafiki yangu alipata kusema kuwa hakuna asiyepokea rushwa. Inategemea ni kiwango gani. Mwingine ikiwa kubwa sana anaikataa sababu imevuka matarajio yake. Mwingine ikiwa ndogo pia anaikataa sababu haijafikia lengo. We uta conclude kuwa jamaa hawataki rushwa.
 
Majungu hayawezi kumzuia Mbowe kuwa mwenyekiti
Tujifunze kutofautisha majungu na ukweli /uhalisia.

2015 Mbowe alifanya tukio la kipumbavu kuikabidhi chadema kwa fisadi papa.

Hasipokubali kutoka hadharani na kukiri udhaifu huo. Huo mzimu wa tamaa ya pesa utaendelea kumtafuna yeye na chama anachokiongoza.
 
Mamvi alisha wanunua DJ Mbowe na Wakili msomi uchwara Tundu Lisu kwa vipande vya fedha za kitanzania. Itakua jambo la kushangaza kuu ambia umma kua DJ na Lisu hawana bei ya kuwanunua. Lakini mimi ni nani niwa bishie Nyumbu wenye chama Chao kwa kudai DJ naLisu hawana bei?
Amakwa hakika chini ya jua vituko havitaisha.
 
Ndugu zangu,

Nianze tu kwa kusema Watanzania si wajinga, wanakumbuka yote yaliyotokea mwaka 2015. CHADEMA inatumia nguvu kubwa kuwanadi walioshiriki kujipatia hela kwenye siasa za mwaka 2015 huku ikiwanadi kuwa eti hao ndio ''chadema asili'' na ''hawanunuliki''. Kundi linalojinasibu kuirudisha Chadema kwenye mstari kama ile Chadema kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 linaundwa na wafuatao, nitaweka kauli zao walizosema wakihalalisha ujasiriasiasa wao kwa kushibisha matumbo yao huku sasa wakijinasibu eti wao ndio wanataka ''chadema ya zamani''.
  1. Freeman Mbowe; huyu anarudi, huku akisema kuwa ''CCM isituchagulie Mwenyekiti, mwaka 2015 alisikika akimsifia Lowassa na Sumaye kuwa ''hatuwezi kuacha mtu anayekuja na mamilioni ya kura ili kumridhisha mtu mmoja (Dr.Slaa), alimalizia ''Chama ni watu''. Kumbuka wale wananchi wengi wa mwaka 2015 ndio watapiga kura 2020.
  2. Godbless Lema; Mwaka 2015 alitumia mistari ya Biblia akitabiri ''anguko la CCM'' kwa ujio wa EL Chadema huku akikana matamshi yake aliyowahi kumtusi EL kipindi cha kampeni za Ubunge Arumeru Mashariki. Je anaushawishi kwa watanzania?
  3. Jacob Boniface; Huyu naweza kusema ni limbukeni wa madaraka, siku hizi ukimwita jina lake ''Jacob'' haitikia anataka umwite ''Meya''. Huyu na kundi lake walikusanyika ofisini kwa Lowassa pale Mikocheni wakimshukuru kwa kuwasaidi kushinda udiwani, umeya na ubunge Dar. alisikika akisema ''Mh.Lowassa bila wewe sisi si kitu, umetubeba kwenye uchaguzi'' akikana haya maneno lazima apate laana, je anaushawishi kwa Watanzania?
  4. Peter Msingwa; Huyu kipindi cha kampeni akihojiwa Channel 10 alisema '' EL ni turufu kubwa kwani kwa utafiti waliofanya waligundua ni asilimia 5 tu ya watanzania ndio humnyima kura mtu sababu ya tuhuma za ufisadi'', hivyo wao wameamua kumpa EL kijiti cha urais ili Chadema inufake. Je Msigwa anaushawishi kwa wananchi?
  5. John Mrema; huyu ndiye alikuwa kinara akichukua nafasi ya Mnyika aliyesusa, yeye aliambatana na EL kila alipopita akiwa na kauli mbiu yake ''kama EL, Kingunge, Sumaye wametoka CCM nani atawaweza?'' kwasasa kabaki yeye na wenzake, je Watanzania watawasamehe?
  6. Halima Mdee n.k
Wapo wengi ila kwa sasa timu hii ya watu sita ndio kiini cha Chadema, wao ndio wanaona ''hawanunuliki'' japo njaa zao za mwaka 2015 bado zinawaondolea uhalali kusema ''hawanunuliki.

Nimalize tu kwa kusema kikundi hicho hapo juu hakiaminiki, kinanunulika na kwa sasa hawana uhalali kwa Watanzania.
Kinachonikera ni pesa yangu ya kodi kutumika kumlipa huyu CD.....
Mashavu kama mimba ya joroe...
 
Achieni uwanja huru wa siasa muone kama jiwe linakubalika mbowe anakubalika sana
Wengine wana hasira na mbowe ya kukosa fursa kama wakudadavua. Kwa sababu ya tamaa na papara, mfano Josephine mke wa Dr. Slaa. Zito kabwe na kukikundi kake
 
Kwa haya yanayoendelea chadema wanakosea sana

Walianza kwa kukosea kumchukua lowassa

Yaani wakakkubali michezo ya ccm kutengeneza wapinzani wao wenyewe

Upinzani mwingine unatengenezwa hivi sasa upinzani kutoka ACT... inasikitisha sana
Upinzani wa ccm au upinzani wa upinzani cdm
 
Mamvi alisha wanunua DJ Mbowe na Wakili msomi uchwara Tundu Lisu kwa vipande vya fedha za kitanzania. Itakua jambo la kushangaza kuu ambia umma kua DJ na Lisu hawana bei ya kuwanunua. Lakini mimi ni nani niwa bishie Nyumbu wenye chama Chao kwa kudai DJ naLisu hawana bei?
Amakwa hakika chini ya jua vituko havitaisha.
Hizo story za kijiweni tu. mbowe ndo mwenyekiti shupavu afrika mashariki na kati, kama hutaki kunywa sumu
 
Mwili uko ccm moyo uko CHADEMA
Ndugu zangu,

Nianze tu kwa kusema Watanzania si wajinga, wanakumbuka yote yaliyotokea mwaka 2015. CHADEMA inatumia nguvu kubwa kuwanadi walioshiriki kujipatia hela kwenye siasa za mwaka 2015 huku ikiwanadi kuwa eti hao ndio ''chadema asili'' na ''hawanunuliki''. Kundi linalojinasibu kuirudisha Chadema kwenye mstari kama ile Chadema kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 linaundwa na wafuatao, nitaweka kauli zao walizosema wakihalalisha ujasiriasiasa wao kwa kushibisha matumbo yao huku sasa wakijinasibu eti wao ndio wanataka ''chadema ya zamani''.
  1. Freeman Mbowe; huyu anarudi, huku akisema kuwa ''CCM isituchagulie Mwenyekiti, mwaka 2015 alisikika akimsifia Lowassa na Sumaye kuwa ''hatuwezi kuacha mtu anayekuja na mamilioni ya kura ili kumridhisha mtu mmoja (Dr.Slaa), alimalizia ''Chama ni watu''. Kumbuka wale wananchi wengi wa mwaka 2015 ndio watapiga kura 2020.
  2. Godbless Lema; Mwaka 2015 alitumia mistari ya Biblia akitabiri ''anguko la CCM'' kwa ujio wa EL Chadema huku akikana matamshi yake aliyowahi kumtusi EL kipindi cha kampeni za Ubunge Arumeru Mashariki. Je anaushawishi kwa watanzania?
  3. Jacob Boniface; Huyu naweza kusema ni limbukeni wa madaraka, siku hizi ukimwita jina lake ''Jacob'' haitikia anataka umwite ''Meya''. Huyu na kundi lake walikusanyika ofisini kwa Lowassa pale Mikocheni wakimshukuru kwa kuwasaidi kushinda udiwani, umeya na ubunge Dar. alisikika akisema ''Mh.Lowassa bila wewe sisi si kitu, umetubeba kwenye uchaguzi'' akikana haya maneno lazima apate laana, je anaushawishi kwa Watanzania?
  4. Peter Msingwa; Huyu kipindi cha kampeni akihojiwa Channel 10 alisema '' EL ni turufu kubwa kwani kwa utafiti waliofanya waligundua ni asilimia 5 tu ya watanzania ndio humnyima kura mtu sababu ya tuhuma za ufisadi'', hivyo wao wameamua kumpa EL kijiti cha urais ili Chadema inufake. Je Msigwa anaushawishi kwa wananchi?
  5. John Mrema; huyu ndiye alikuwa kinara akichukua nafasi ya Mnyika aliyesusa, yeye aliambatana na EL kila alipopita akiwa na kauli mbiu yake ''kama EL, Kingunge, Sumaye wametoka CCM nani atawaweza?'' kwasasa kabaki yeye na wenzake, je Watanzania watawasamehe?
  6. Halima Mdee n.k
Wapo wengi ila kwa sasa timu hii ya watu sita ndio kiini cha Chadema, wao ndio wanaona ''hawanunuliki'' japo njaa zao za mwaka 2015 bado zinawaondolea uhalali kusema ''hawanunuliki.

Nimalize tu kwa kusema kikundi hicho hapo juu hakiaminiki, kinanunulika na kwa sasa hawana uhalali kwa Watanzania.
 
Watanzania asilimia themanini wanamuangalia Mbowe kama kama mkombozi wao
Halafu mnasema magufuli anakubalika aachie uwanja huru wa siasa aone atakavyopigwa chini asubuhi asubuhi.
Ukiwa serious kidogo bwana mdogo
 
Wakati mikataba ya wizi inapitishwa na ccm, fedha za escrow JK anasema sio za umma, Magufuli na wanaccm wenzake walikuwa wanashangilia kama wenda wazimu, leo hao hao ndio wanajifanya wana uchungu na mali za umma. Wakati mkataba wa gas unapitishwa bungeni, Magufuli na wanaccm wenzako walikuwa wanahubiri tatizo la kukatika umeme litakuwa historia, leo anasema gas sio yetu imeuzwa na wajanja! Hapo bado mnaona watanzania ni wajinga?
Mkuu kuna kakikundi kanajidai kuikosoa chadema ukiwauliza mnakosea sera IPI? Au mnakosea itikadi IPI? Au mnakosoa nini kwenye katiba?? Hawana majibu,

Wanashambulia personality za watu tu. Hawana hoja zinazoeleweka, kama chadema wamebadili itikadi yao nisawa kukosolewa, au kama wana sera mbaya ruksa kukosolewa

Au kama katiba yao inakinzana na haki za binadamu au mila na desturi za watanzanis hapo ni sawa kuwakosoa,

Wengi wanaokosoa ukiwatoa wapumbavu wa lumumba ni wale waliokosa fursa wakati wa JK, wakajifanya wanaharakati wa mabadiliko, kuanzia 2005 mpaka 2015 walijifanya pro Chadema kumbe wanafiki tu ukiwanchunguza unagundua ni masadist ambao kwao aliyefanikiwa kiuchumi ni fisadi tu.

Wanamchukia lowasa si kwa sababu ya ufisadi ni kwa sababu ana akili ya kijasiliamali,

Hata mbowe anachukiwa kwa mitazamo yake ya kijasiliamali, ambayo ni sahihi kwa nyakati hizi,
Sisasa za kijasiliamali ndo habari ya wakati huu,

Kama sera ya chadema ni kuwachukia waliofanikiwa kiuchumi nitaacha kuwasapoti
 
Kwahiyo Mbowe ni mkombozi wako?
Kumbuka ccm inachukiwa sana sana na huku kulwzimisha ipendwe kwa mtutu wa bunduki ndiyo kunazidi kuwafanya watu wapandwe na ghadhabu

Mbowe kukataa kunuliwa na ccm kumefanya watu eamuamini na kumuona kuwa ndio mkombozi pekee aliyebaki Tanzania
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom