imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,674
- 71,042
Achieni uwanja huru wa siasa muone kama jiwe linakubalika mbowe anakubalika sanaMbowe mkombozi? labda kwenye kombolela!

kama wananchi wangewasapoti wangetoka barabarani.... tatizo sasa nguvu ya umma mliiuza mwaka 2015Achieni uwanja huru wa siasa muone kama jiwe linakubalika mbowe anakubalika sana
Usijirushe ufahamu wakati unajua fika kuwa mwenyekiti wenu yuko tayari kuuwa na mfano hai ni Tundu Lissu.kama wananchi wangewasapoti wangetoka barabarani.... tatizo sasa nguvu ya umma mliiuza mwaka 2015
Tujifunze kutofautisha majungu na ukweli /uhalisia.Majungu hayawezi kumzuia Mbowe kuwa mwenyekiti
Kinachonikera ni pesa yangu ya kodi kutumika kumlipa huyu CD.....Ndugu zangu,
Nianze tu kwa kusema Watanzania si wajinga, wanakumbuka yote yaliyotokea mwaka 2015. CHADEMA inatumia nguvu kubwa kuwanadi walioshiriki kujipatia hela kwenye siasa za mwaka 2015 huku ikiwanadi kuwa eti hao ndio ''chadema asili'' na ''hawanunuliki''. Kundi linalojinasibu kuirudisha Chadema kwenye mstari kama ile Chadema kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 linaundwa na wafuatao, nitaweka kauli zao walizosema wakihalalisha ujasiriasiasa wao kwa kushibisha matumbo yao huku sasa wakijinasibu eti wao ndio wanataka ''chadema ya zamani''.
Wapo wengi ila kwa sasa timu hii ya watu sita ndio kiini cha Chadema, wao ndio wanaona ''hawanunuliki'' japo njaa zao za mwaka 2015 bado zinawaondolea uhalali kusema ''hawanunuliki.
- Freeman Mbowe; huyu anarudi, huku akisema kuwa ''CCM isituchagulie Mwenyekiti, mwaka 2015 alisikika akimsifia Lowassa na Sumaye kuwa ''hatuwezi kuacha mtu anayekuja na mamilioni ya kura ili kumridhisha mtu mmoja (Dr.Slaa), alimalizia ''Chama ni watu''. Kumbuka wale wananchi wengi wa mwaka 2015 ndio watapiga kura 2020.
- Godbless Lema; Mwaka 2015 alitumia mistari ya Biblia akitabiri ''anguko la CCM'' kwa ujio wa EL Chadema huku akikana matamshi yake aliyowahi kumtusi EL kipindi cha kampeni za Ubunge Arumeru Mashariki. Je anaushawishi kwa watanzania?
- Jacob Boniface; Huyu naweza kusema ni limbukeni wa madaraka, siku hizi ukimwita jina lake ''Jacob'' haitikia anataka umwite ''Meya''. Huyu na kundi lake walikusanyika ofisini kwa Lowassa pale Mikocheni wakimshukuru kwa kuwasaidi kushinda udiwani, umeya na ubunge Dar. alisikika akisema ''Mh.Lowassa bila wewe sisi si kitu, umetubeba kwenye uchaguzi'' akikana haya maneno lazima apate laana, je anaushawishi kwa Watanzania?
- Peter Msingwa; Huyu kipindi cha kampeni akihojiwa Channel 10 alisema '' EL ni turufu kubwa kwani kwa utafiti waliofanya waligundua ni asilimia 5 tu ya watanzania ndio humnyima kura mtu sababu ya tuhuma za ufisadi'', hivyo wao wameamua kumpa EL kijiti cha urais ili Chadema inufake. Je Msigwa anaushawishi kwa wananchi?
- John Mrema; huyu ndiye alikuwa kinara akichukua nafasi ya Mnyika aliyesusa, yeye aliambatana na EL kila alipopita akiwa na kauli mbiu yake ''kama EL, Kingunge, Sumaye wametoka CCM nani atawaweza?'' kwasasa kabaki yeye na wenzake, je Watanzania watawasamehe?
- Halima Mdee n.k
Nimalize tu kwa kusema kikundi hicho hapo juu hakiaminiki, kinanunulika na kwa sasa hawana uhalali kwa Watanzania.
Wengine wana hasira na mbowe ya kukosa fursa kama wakudadavua. Kwa sababu ya tamaa na papara, mfano Josephine mke wa Dr. Slaa. Zito kabwe na kukikundi kakeAchieni uwanja huru wa siasa muone kama jiwe linakubalika mbowe anakubalika sana
Upinzani wa ccm au upinzani wa upinzani cdmKwa haya yanayoendelea chadema wanakosea sana
Walianza kwa kukosea kumchukua lowassa
Yaani wakakkubali michezo ya ccm kutengeneza wapinzani wao wenyewe
Upinzani mwingine unatengenezwa hivi sasa upinzani kutoka ACT... inasikitisha sana
Hizo story za kijiweni tu. mbowe ndo mwenyekiti shupavu afrika mashariki na kati, kama hutaki kunywa sumuMamvi alisha wanunua DJ Mbowe na Wakili msomi uchwara Tundu Lisu kwa vipande vya fedha za kitanzania. Itakua jambo la kushangaza kuu ambia umma kua DJ na Lisu hawana bei ya kuwanunua. Lakini mimi ni nani niwa bishie Nyumbu wenye chama Chao kwa kudai DJ naLisu hawana bei?
Amakwa hakika chini ya jua vituko havitaisha.
Ndugu zangu,
Nianze tu kwa kusema Watanzania si wajinga, wanakumbuka yote yaliyotokea mwaka 2015. CHADEMA inatumia nguvu kubwa kuwanadi walioshiriki kujipatia hela kwenye siasa za mwaka 2015 huku ikiwanadi kuwa eti hao ndio ''chadema asili'' na ''hawanunuliki''. Kundi linalojinasibu kuirudisha Chadema kwenye mstari kama ile Chadema kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 linaundwa na wafuatao, nitaweka kauli zao walizosema wakihalalisha ujasiriasiasa wao kwa kushibisha matumbo yao huku sasa wakijinasibu eti wao ndio wanataka ''chadema ya zamani''.
Wapo wengi ila kwa sasa timu hii ya watu sita ndio kiini cha Chadema, wao ndio wanaona ''hawanunuliki'' japo njaa zao za mwaka 2015 bado zinawaondolea uhalali kusema ''hawanunuliki.
- Freeman Mbowe; huyu anarudi, huku akisema kuwa ''CCM isituchagulie Mwenyekiti, mwaka 2015 alisikika akimsifia Lowassa na Sumaye kuwa ''hatuwezi kuacha mtu anayekuja na mamilioni ya kura ili kumridhisha mtu mmoja (Dr.Slaa), alimalizia ''Chama ni watu''. Kumbuka wale wananchi wengi wa mwaka 2015 ndio watapiga kura 2020.
- Godbless Lema; Mwaka 2015 alitumia mistari ya Biblia akitabiri ''anguko la CCM'' kwa ujio wa EL Chadema huku akikana matamshi yake aliyowahi kumtusi EL kipindi cha kampeni za Ubunge Arumeru Mashariki. Je anaushawishi kwa watanzania?
- Jacob Boniface; Huyu naweza kusema ni limbukeni wa madaraka, siku hizi ukimwita jina lake ''Jacob'' haitikia anataka umwite ''Meya''. Huyu na kundi lake walikusanyika ofisini kwa Lowassa pale Mikocheni wakimshukuru kwa kuwasaidi kushinda udiwani, umeya na ubunge Dar. alisikika akisema ''Mh.Lowassa bila wewe sisi si kitu, umetubeba kwenye uchaguzi'' akikana haya maneno lazima apate laana, je anaushawishi kwa Watanzania?
- Peter Msingwa; Huyu kipindi cha kampeni akihojiwa Channel 10 alisema '' EL ni turufu kubwa kwani kwa utafiti waliofanya waligundua ni asilimia 5 tu ya watanzania ndio humnyima kura mtu sababu ya tuhuma za ufisadi'', hivyo wao wameamua kumpa EL kijiti cha urais ili Chadema inufake. Je Msigwa anaushawishi kwa wananchi?
- John Mrema; huyu ndiye alikuwa kinara akichukua nafasi ya Mnyika aliyesusa, yeye aliambatana na EL kila alipopita akiwa na kauli mbiu yake ''kama EL, Kingunge, Sumaye wametoka CCM nani atawaweza?'' kwasasa kabaki yeye na wenzake, je Watanzania watawasamehe?
- Halima Mdee n.k
Nimalize tu kwa kusema kikundi hicho hapo juu hakiaminiki, kinanunulika na kwa sasa hawana uhalali kwa Watanzania.
Ukiwa serious kidogo bwana mdogoWatanzania asilimia themanini wanamuangalia Mbowe kama kama mkombozi wao
Halafu mnasema magufuli anakubalika aachie uwanja huru wa siasa aone atakavyopigwa chini asubuhi asubuhi.
Mkuu kuna kakikundi kanajidai kuikosoa chadema ukiwauliza mnakosea sera IPI? Au mnakosea itikadi IPI? Au mnakosoa nini kwenye katiba?? Hawana majibu,Wakati mikataba ya wizi inapitishwa na ccm, fedha za escrow JK anasema sio za umma, Magufuli na wanaccm wenzake walikuwa wanashangilia kama wenda wazimu, leo hao hao ndio wanajifanya wana uchungu na mali za umma. Wakati mkataba wa gas unapitishwa bungeni, Magufuli na wanaccm wenzako walikuwa wanahubiri tatizo la kukatika umeme litakuwa historia, leo anasema gas sio yetu imeuzwa na wajanja! Hapo bado mnaona watanzania ni wajinga?
Uenyekiti Chadema ndio umemponza LissuUsijirushe ufahamu wakati unajua fika kuwa mwenyekiti wenu yuko tayari kuuwa na mfano hai ni Tundu Lissu.
Kwahiyo Mbowe ni mkombozi wako?Achieni uwanja huru wa siasa muone kama jiwe linakubalika mbowe anakubalika sana
Kumbuka ccm inachukiwa sana sana na huku kulwzimisha ipendwe kwa mtutu wa bunduki ndiyo kunazidi kuwafanya watu wapandwe na ghadhabuKwahiyo Mbowe ni mkombozi wako?