Waliohusika kifo cha mama mzazi wa Hoyce Temu Hospitali ya KCMC waondolewe

Inasikitisha....
Inasikitisha.....
Inasikitisha.....

Watoa huduma ya afya hawana tofauti na ASKARI JESHI.....

DHARURA inapotokea huwa wanakimbizana mno....

Nini maana ya EMERGENCY MEDICINE?!!!

Watu WANASOMEA KUBOBEA KATIKA katika EMERGENCY MEDICINE kwa kusomeshwa na serikali na pia UFADHILI WA MASHIRIKA NA NCHI WAFADHILI....Sasa inashangaza kukutana na kadhia kama hizi hususani ndani ya HOSPITALI KUBWA NA ZA RUFAA......

Manesi na madaktari huwa wanafahamu kitu kiitwacho "SORTING".....

Sorting ni utaratibu wa utoaji huduma za kiafya ambao WATOA HUDUMA WA AFYA huzingatia ,mfano huanza KUWAHUDUMIA WAGONJWA WENYE HALI MBAYA KABLA YA WALE WENYE NAFUU.....

WATUMISHI WA AFYA BADILIKENI!!!

#StaunchSupporterOfTanzania
#DieHardFanOfCCM
 
Tatizo wahudumu wetu wanazoea kazi,
Tanesco keshazoea umeme kukatika,
Dawasco keshazoea maji kukatika,
Sumatra keshazoea kuchelewa,
Benk washazoea Foleni,


Sasa haya mazoea ya kipuuzi ndio yanafikia mpaka kwa Dactari/nesi kuzoe Vifo....

Yaani bongo makosa wanayobuni wenzetu ili watengenezee movie, sisi ndio tunayaishi...
 
Kwahiyo wapinzani mkishika nchi wahudumu wa afya watabadilika tabia?
haya tuishie hapa
Wewe bado mtoto wa mama hayajawahi kukukuta ukute unatibiwa hosp ya jeshi unatupigia kelele sisi wanyonge kalale huko
 
Ninashauri kiwepo kitengo maalumu ambacho hakina uhusiano na utawala wa kcmc ,muhimbili ,mount meru hospital, bungando na sokoine mbeya, ambacho kitaratibu idadi yà Vifo kila siku,kila wiki,kila mwezi na kila mwaka na taarifa hizo ziwe zinatolewa kwenye vyombo vya habari , ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa ili kupata kumbukumbu sahihi za watanzania tunaowapoteza. Takwimu hizi huwa ni Siri ya hospital husika na janga kwa familia na serikali ilu tujue namna ya kupunguza Vifo.
 
Duu inasikitisha sana kupoteza mzazi kwa uzembe. Rachel na ubabe wake maskini anaweza kuwafungulia kesi
 
Kwa kuwa huyo ana watoto au watu wakumsema kwenye jamii, lakini amini kila siku jua lichomozapo Kuna ndugu zetu tunawapoteza kwa uzembe wa madaktari na manesi.
 
USHAMBA MZIGO.!!

NAOMBA KUJUA IKO KIFAA CHEUSI KILICHOINAMISHWA NA UYO MMAMA JUU YA USO WA MAREHEMU, ni nin iko wakuu
 
Pale hupajui vizuri wewe, ukiwa mlutheri unakuwa daraja la kwanza
Sio kweli wala sio sera ya Hopsitali hii. Toa ushahidi acha kuichafua Hopsitali hii ya Kanda, hovyo kabisa. Je uliambiwa mzazi wa Hoise Temu sio mluteri? Tuache hii maneno.
 
Sio kweli wala sio sera ya Hopsitali hii. Toa ushahidi acha kuichafua Hopsitali hii ya Kanda, hovyo kabisa. Je uliambiwa mzazi wa Hoise Temu sio mluteri? Tuache hii maneno.
Ndio maana nikauliza hakuwa mlutheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…