LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,404
kikuweli hawa wahamiaji wataleta mgogoro mkubwa sana ndani ya ccm hasa huko mbeleni. muda utasema...
hili wazo hata mimi nililifikiria japo kwangu mimi nadhani strategy ya CCM inaendelea zaidi ya hapo. Baada ya kukatwa 2020 kwenye kura za maoni (huu ni mpango ambao ni lazima utekelezwe) hawa viumbe kwa sababu ya undumilakuwili wanatarajiwa kureact kwa kuhama tena (hii ndo ile kete ambayo ndo ya mtego sasa). Mission itakuwa accomplished pale ambapo kutatokea vyama vitavyowapokea jambo ambalo litasababisha mpasuko na migogoro kwa hivi vyama. Wakati huo CCM itakuwa imara zaidi na kwenye nafasi nzuri ya kushinda maana hakutakuwa na mgogoro ndani ya chama hivyo kupata imani ya wananchi especially vijijini.Habari wakuu!
Nikiwa miongoni mwa watu tulioshikwa na sintofahamu ya kile kinachoendelea hapa chini. Kitendo cha baadhi ya wenyeviti, madiwani na wabunge kutoka Vyama vya Upinzani kuhamia Chama tawaka cha CCM. Jambo hili limeleta maswali mengi sana vichwani mwa watu wakiwemo wanazuoni, wanasiasa na hata watu wakawaida.
Wapo baadhi husema kuwa hama hama hii ni matokeo ya Rushwa na hongo itolewayo na Chama Tawala. Wengine hudai jambo hili ni kutokana na utendaji uliotukuka wa Mheshimiwa Rais Magufuli. Binafsi ninavyoona ni ule woga wa viongozi wao katika jitihada za kutetea matumbo yao.
Nikirudi kwenye mada. CCM si wajinga mpaka waendeshe operesheni hii ya kuhamasisha wapinzani wahamie chama chao. Wanaohama ndio wajinga tena wapuuzi wasiofikiria vyema. Kama wahamiaji hawa wangekuwa na akili wasingethubutu kuhama kutoka vyama vyao. Mimi kama ningeambiwa niwape jina gani ningesema jina moja tuu nalo ni "Mambumbumbu".
Si kama nawatukana bali ndio uhalisia. Mtu mbumbumbu hafikirishi akili yake kufikiria kesho yake.
Huamua bila kufikiri na huendeshwa kwa mihemuko na hisia. Ni rahisi kumrubuni mtu mbumbumbu kwani hafikirii mara mbili.
Hiki ndicho kitakachowapata:
1. Hawatapita katika kura za maoni ifikapo 2020.
Amini Amini nawaambieni ninao uhakika kuwa hawa mambumbumbu wataambulia patupu ifkapo 2020. Chama cha CCM katika kura za maoni kwenye ngazi ya kata na jimbo hawatapitisha tena hawa watu. Kwanza hawatakuwa na mtandao lakini kilichofanyika ni kuwarubuni wababa wa watu kwa upumbavu wao na ukosefu wa maarifa. Nauhakika Wanachama wa CCM katika chaguzi hizi wameambiwa wawapigie tuu kura ili wamalize miaka yao miwili iliyobaki alafu ikifika 2020 wamwagwe kama takataka. Hivi unawezaje kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa kama sio umbumbumbu?
Ingekuwa busara wao wamalize miaka yao miwili hii iliyobaki wakiendelea kujijenga kisiasa na kwa wapiga kura wao. Lakini sitakuja kuamini kuwa CCM itawapitisha tena hawa viumbe.
Ninauhakika 100% hili halitatokea. Na hapa ndipo watakapojutia umbumbumbu wao. Hivi hawaijui CCM nini?
Nawasilisha
Wanawake wakiamua mkuu kuwa na msimamo ni hbari nyingine kbs hawa mashoga wameshikiwa akili hali zao zitakuwa mby sn soonKinachosikitisha wengi ni wanaume. Wanawake wapo thabiti
hili wazo hata mimi nililifikiria japo kwangu mimi nadhani strategy ya CCM inaendelea zaidi ya hapo. Baada ya kukatwa 2020 kwenye kura za maoni (huu ni mpango ambao ni lazima utekelezwe) hawa viumbe kwa sababu ya undumilakuwili wanatarajiwa kureact kwa kuhama tena (hii ndo ile kete ambayo ndo ya mtego sasa). Mission itakuwa accomplished pale ambapo kutatokea vyama vitavyowapokea jambo ambalo litasababisha mpasuko na migogoro kwa hivi vyama. Wakati huo CCM itakuwa imara zaidi na kwenye nafasi nzuri ya kushinda maana hakutakuwa na mgogoro ndani ya chama hivyo kupata imani ya wananchi especially vijijini.
CCM asilia inarudi; watatafuta pa kwenda na huko CDM wameshanyea kambi; malipo ya usaliti lazima wayapate tu. Waliisaliti CCM wakaingia Upinzani kwa.mbwembwe na kuisimanga CCM bila aibu, vibaya vibaya. Haya hawa hawa wamesaliti tena upinzani na kuingia CCM kwa makubakiano maalum; kwa sasa wanakula bata na kuwaacha wafia chama midomo wazi...Mungu anawaona ila kwa sasa acha watanue tutakutana nao kwenye kura za maoni 2020.
Kama watakuwa bado wana-amini kuwa wana nguvu kwa wananchi, watahamia chama chochote kwa wakati huo! Vinginevyo waanze Maisha mapya bila kuwepo mjegoniMkuu shida ni kuwa wananchi huchagua watu waliopitishwa na chama husika. Je hao waliohama watapitishwa?
Mkuu unajidanganya Kwa Mfano waliorudi CCM kama hawatapitishwa 2020 wajue ndo mwisho wao hata wakipimbilie UDPWananchi werevu huchagua mtu haijalishi yupo chama gani! Na ndio maana hawa wamerudi tena! NAWAZA TU
Kanuni ni ile ile. Ila kwa mfumo uliopo siuoni upinzani mwaka 2020
Utaratibu wa kura za maoni CCM umebadilishwa kumbuka hilo..majina yote ya wanaoomba kukiwakilisha chama kwenye uchaguzi kabla ya kura ya maoni kamati kuu itapitisha majina 2 au 3 tu kwa ajili ya kupigiwa kura ya maoni..hilo unalosema linaweza lisitokee.Habari wakuu!
Nikiwa miongoni mwa watu tulioshikwa na sintofahamu ya kile kinachoendelea hapa chini. Kitendo cha baadhi ya wenyeviti, madiwani na wabunge kutoka Vyama vya Upinzani kuhamia Chama tawaka cha CCM. Jambo hili limeleta maswali mengi sana vichwani mwa watu wakiwemo wanazuoni, wanasiasa na hata watu wakawaida.
Wapo baadhi husema kuwa hama hama hii ni matokeo ya Rushwa na hongo itolewayo na Chama Tawala. Wengine hudai jambo hili ni kutokana na utendaji uliotukuka wa Mheshimiwa Rais Magufuli. Binafsi ninavyoona ni ule woga wa viongozi wao katika jitihada za kutetea matumbo yao.
Nikirudi kwenye mada. CCM si wajinga mpaka waendeshe operesheni hii ya kuhamasisha wapinzani wahamie chama chao. Wanaohama ndio wajinga tena wapuuzi wasiofikiria vyema. Kama wahamiaji hawa wangekuwa na akili wasingethubutu kuhama kutoka vyama vyao. Mimi kama ningeambiwa niwape jina gani ningesema jina moja tuu nalo ni "Mambumbumbu".
Si kama nawatukana bali ndio uhalisia. Mtu mbumbumbu hafikirishi akili yake kufikiria kesho yake.
Huamua bila kufikiri na huendeshwa kwa mihemuko na hisia. Ni rahisi kumrubuni mtu mbumbumbu kwani hafikirii mara mbili.
Hiki ndicho kitakachowapata:
1. Hawatapita katika kura za maoni ifikapo 2020.
Amini Amini nawaambieni ninao uhakika kuwa hawa mambumbumbu wataambulia patupu ifkapo 2020. Chama cha CCM katika kura za maoni kwenye ngazi ya kata na jimbo hawatapitisha tena hawa watu. Kwanza hawatakuwa na mtandao lakini kilichofanyika ni kuwarubuni wababa wa watu kwa upumbavu wao na ukosefu wa maarifa. Nauhakika Wanachama wa CCM katika chaguzi hizi wameambiwa wawapigie tuu kura ili wamalize miaka yao miwili iliyobaki alafu ikifika 2020 wamwagwe kama takataka. Hivi unawezaje kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa kama sio umbumbumbu?
Ingekuwa busara wao wamalize miaka yao miwili hii iliyobaki wakiendelea kujijenga kisiasa na kwa wapiga kura wao. Lakini sitakuja kuamini kuwa CCM itawapitisha tena hawa viumbe.
Ninauhakika 100% hili halitatokea. Na hapa ndipo watakapojutia umbumbumbu wao. Hivi hawaijui CCM nini?
Nawasilisha
Achani kuaribiana aisee huu ni mwaka wa mavuno,hat waspo pita watakua wakuu wa wilaya na mikoa,Habari wakuu!