njaa ni mbaya hasa ikihamia kichwani, huyo jamaa ni bure kabisa.Hivi hata msomi wa shahada anashindwa kuelewa mambo madogo kama haya. Waitara bhana.
Kwa kutumia polisi na tume watakuwa na uhakika wa kushinda. kitakachoendelea kwasasa ni kupeleka pesa za maendeleo Kinafki ili kuwarubuni wadanganyika. kwenye kura za maoni Hawa mbululazi lazima wamwagwe Kama toilet karatasi kazi Itakuwa imekwisha. wafia chama ndio Itakuwa fursa yao. Usione wako kimya, kimya kingi kina mshindo mkuu. Itakuwa kilio na kusaga meno kwa mbululaz.Kinachosikitisha wengi ni wanaume. Wanawake wapo thabiti
hayo ni maono ya kuku, watu wenye akili ya mwewe wanafikiria miaka kumi ijayo, kiwango cha chini ni miaka 5.Sasa hiyo miaka miwili iliyobakia si analipwa tuu mshahara wa ubunge
Sijui kwanini hawakuomba ushauri
Kwa kutumia polisi na tume watakuwa na uhakika wa kushinda. kitakachoendelea kwasasa ni kupeleka pesa za maendeleo Kinafki ili kuwarubuni wadanganyika. kwenye kura za maoni Hawa mbululazi lazima wamwagwe Kama toilet karatasi kazi Itakuwa imekwisha. wafia chama ndio Itakuwa fursa yao. Usione wako kimya, kimya kingi kina mshindo mkuu. Itakuwa kilio na kusaga meno kwa mbululaz.
Natabiri walio hamia CCM hawatapata tena ubunge 2020 watakuwa makapi ''rejects'' hii nimegundua ni namna nzuri ya kudhoofisha upinza unawavuta halafu unawapiga teke kulee! kwasababu watajulikana km hawana misimamo yaani ''Wasaliti'' Wataundiwa zengwe
Na waliohamia CCM kwenda CHADEMA akina Sumaye et al nao nini kitawapata?