gimanini JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 1,910 Reaction score 1,981 Jul 28, 2015 #81 peoples power
N nyambogo JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 283 Reaction score 111 Jul 28, 2015 #82 samora10 said: Ngoma ndio kwanza imeanza hii.. kuanzia kesho mafuriko yaliyozuiliwa kwa mkono yanaanza kubomoa.. na yatakula mpaka misingi Click to expand... Tulishachimba mtaro so mafuriko yatapita tu tutabaki nchi kavu salama salimini
samora10 said: Ngoma ndio kwanza imeanza hii.. kuanzia kesho mafuriko yaliyozuiliwa kwa mkono yanaanza kubomoa.. na yatakula mpaka misingi Click to expand... Tulishachimba mtaro so mafuriko yatapita tu tutabaki nchi kavu salama salimini
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,081 Reaction score 35,384 Jul 28, 2015 #83 DuppyConqueror said: Mda mrefu tulijua huyo mama ni msaliti Click to expand... Hahaa misimo ndugu wenye munguwao wasikusikie
DuppyConqueror said: Mda mrefu tulijua huyo mama ni msaliti Click to expand... Hahaa misimo ndugu wenye munguwao wasikusikie
S ss3 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 213 Reaction score 98 Jul 28, 2015 #84 Lowassa unakaa wapi? Njoo nawe utaona. Vipofu wanaona,viziwi wanasikia, bubu wanasema.hakika huyu ndiye
Lowassa unakaa wapi? Njoo nawe utaona. Vipofu wanaona,viziwi wanasikia, bubu wanasema.hakika huyu ndiye
DuppyConqueror JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 9,466 Reaction score 6,970 Jul 28, 2015 #85 MOTOCHINI said: Hahaa misimo ndugu wenye munguwao wasikusikie Click to expand... Mkuu Mbowe amekabidhishwa 10bn ...kwa sasa Lowassa kageuka mungu
MOTOCHINI said: Hahaa misimo ndugu wenye munguwao wasikusikie Click to expand... Mkuu Mbowe amekabidhishwa 10bn ...kwa sasa Lowassa kageuka mungu
TAWA JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 3,674 Reaction score 1,572 Jul 28, 2015 #86 bodaboda2 said: yaani Leo mikoa mingi tz ilikuwa haina umeme sababu dawa ya Leo Ni kali kwa hawa kunguru wa Lumumba fc (chama cha majizi) CCM Click to expand... Bila ya kujua kuwa kwa kuzima umeme maeneo hayo, serikali imepoteza shilng ngapi!!!
bodaboda2 said: yaani Leo mikoa mingi tz ilikuwa haina umeme sababu dawa ya Leo Ni kali kwa hawa kunguru wa Lumumba fc (chama cha majizi) CCM Click to expand... Bila ya kujua kuwa kwa kuzima umeme maeneo hayo, serikali imepoteza shilng ngapi!!!
K Kirabhe Kibhe Senior Member Joined Jan 20, 2015 Posts 100 Reaction score 19 Jul 28, 2015 #88 Lowasa ni Fisadi zaidi ya Richmond! Ana RB UN Si muda mrefu atakamatwa na kkupelekwa ktk mahakamaya ya Kimataifa
Lowasa ni Fisadi zaidi ya Richmond! Ana RB UN Si muda mrefu atakamatwa na kkupelekwa ktk mahakamaya ya Kimataifa
K kiogwe JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 3,763 Reaction score 4,945 Jul 28, 2015 #89 kanone said: mfumo hupi wakati ndo huo umewaweka mifukoni viongozi wako kwa billion 10, Click to expand... Mkuu unatia kinyaa kwani lazima uchangie unaongea utumbo kwa mambo ya msingi wacha wajuvi wa mambo wapambane kwa hoja tutolee vioja hapa kaa pembeni ushuhudie watu wanapambana kwa hoja
kanone said: mfumo hupi wakati ndo huo umewaweka mifukoni viongozi wako kwa billion 10, Click to expand... Mkuu unatia kinyaa kwani lazima uchangie unaongea utumbo kwa mambo ya msingi wacha wajuvi wa mambo wapambane kwa hoja tutolee vioja hapa kaa pembeni ushuhudie watu wanapambana kwa hoja
C Chaka boy JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 232 Reaction score 45 Jul 28, 2015 #90 Wale waliokua wanasema lowasa ananunua watu waende kwenye mikutano yake ya kutia nia wasubiri sasa wauone ukweli halisi.
Wale waliokua wanasema lowasa ananunua watu waende kwenye mikutano yake ya kutia nia wasubiri sasa wauone ukweli halisi.
M masaule120 Senior Member Joined Jul 16, 2015 Posts 176 Reaction score 33 Jul 28, 2015 #91 Kirabhe Kibhe said: Lowasa ni Fisadi zaidi ya Richmond! Ana RB UN Si muda mrefu atakamatwa na kkupelekwa ktk mahakamaya ya Kimataifa Click to expand... Mlikuwa mnasubiri ahame ndomuanze kuchonga au?
Kirabhe Kibhe said: Lowasa ni Fisadi zaidi ya Richmond! Ana RB UN Si muda mrefu atakamatwa na kkupelekwa ktk mahakamaya ya Kimataifa Click to expand... Mlikuwa mnasubiri ahame ndomuanze kuchonga au?
goodluck mushi New Member Joined Jul 28, 2015 Posts 4 Reaction score 1 Jul 28, 2015 #92 Weston Songoro said: Mkoa wa Arusha umeingiliwa na CHADEMA Click to expand... im chadema uku kahama ni shangwe
Weston Songoro said: Mkoa wa Arusha umeingiliwa na CHADEMA Click to expand... im chadema uku kahama ni shangwe
P Phillemon Mikael Platinum Member Joined Nov 5, 2006 Posts 10,590 Reaction score 8,718 Jul 28, 2015 #93 Wabunge wanec ...Wabunge etc
A Arie power JF-Expert Member Joined Jun 29, 2015 Posts 2,552 Reaction score 1,020 Jul 28, 2015 #94 Elungata said: huyo si amekatwa ufirstlady?... Click to expand... Haa! Nimeipenda hiyo.
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,573 Jul 28, 2015 #95 GeniusBrain said: Hashim Lundenga kwa ajili ya kumtafutia totoz :A S-rap: Click to expand... nonsense kabisa
GeniusBrain said: Hashim Lundenga kwa ajili ya kumtafutia totoz :A S-rap: Click to expand... nonsense kabisa
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,573 Jul 28, 2015 #96 DuppyConqueror said: Mkuu Mbowe amekabidhishwa 10bn ...kwa sasa Lowassa kageuka mungu Click to expand... thibitisha
DuppyConqueror said: Mkuu Mbowe amekabidhishwa 10bn ...kwa sasa Lowassa kageuka mungu Click to expand... thibitisha
N Nando JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 4,848 Reaction score 2,061 Jul 28, 2015 #97 Kirabhe Kibhe said: Lowasa ni Fisadi zaidi ya Richmond! Ana RB UN Si muda mrefu atakamatwa na kkupelekwa ktk mahakamaya ya Kimataifa Click to expand... Una ushahidi????
Kirabhe Kibhe said: Lowasa ni Fisadi zaidi ya Richmond! Ana RB UN Si muda mrefu atakamatwa na kkupelekwa ktk mahakamaya ya Kimataifa Click to expand... Una ushahidi????
L linner JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 1,188 Reaction score 239 Jul 28, 2015 #98 Weston Songoro said: Mkoa wa Arusha umeingiliwa na CHADEMA Click to expand... Mkoa wa Arusha wanajitambua wanajielewa si sawa Dar es slaam
Weston Songoro said: Mkoa wa Arusha umeingiliwa na CHADEMA Click to expand... Mkoa wa Arusha wanajitambua wanajielewa si sawa Dar es slaam
L linner JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 1,188 Reaction score 239 Jul 28, 2015 #99 chikutentema said: Kulielewa hili jambo la leo inahitaji tafakari ya kina sana, any way. Siasa sio kitu kizuri sana wakati mwingine Click to expand... Ndio maana ikaitwa siasa ni mchezo mchafu.
chikutentema said: Kulielewa hili jambo la leo inahitaji tafakari ya kina sana, any way. Siasa sio kitu kizuri sana wakati mwingine Click to expand... Ndio maana ikaitwa siasa ni mchezo mchafu.
L linner JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 1,188 Reaction score 239 Jul 28, 2015 #100 kanone said: mumezoea kutafuta nje ya ccm maana ndani yenu hakuna kitu Click to expand... Umebaki kubweka ndani ya fensi kama mbwa mwenye njaa.
kanone said: mumezoea kutafuta nje ya ccm maana ndani yenu hakuna kitu Click to expand... Umebaki kubweka ndani ya fensi kama mbwa mwenye njaa.