Hadi watakapoenguliwa kwenye kura za maoni ndo watakuja ukawa, na si kwa ajil ya uchungu wa nchi bali kwa ubinafsi wa vitambi vyao
navyojua mimi arusha yote CCM imezikwa rasmi,Kilimanjaro,mbeya,morogoro,sinyanga kanda ya ziwa yote,na baada ya siku chache mtaona wengine wengi wakifuatana naye
Wapare watatawaliwa na CCM maana bado wamelala fofofofooooo. Kuna jimbo la Mwanga na majimbo mawili ya Same, pale wakipewa kanga, kofia, kalenda na t-shirt za CCM kazikwisha wanasahau matatizo yote maana waliahidiwa maji tangu mwaka 1995 ila mpaka sasa wanasubiri kwa imani.
yaani Leo mikoa mingi tz ilikuwa haina umeme sababu dawa ya Leo Ni kali kwa hawa kunguru wa Lumumba fc (chama cha majizi) CCM
bashir awale Md wa zamani wa stanbic Bank
Wanakuja wengi. Wengine hawatatajwa kwa sababu maalum.
Mkewe slaa
mfumo hupi wakati ndo huo umewaweka mifukoni viongozi wako kwa billion 10,ifike mahali mtupe ushahidi wa hizo b 10
unapajua kanda ya ziwa au unakurupuka wewe,
anakurupuka hajui yaliyoko huku kanda ya ziwa,
Nyani Ngabu njoo uthibitishe.
pole sana subili oct utajua ccm ndo yenye dora,