Waliofuatana na Lowassa CHADEMA

Waliofuatana na Lowassa CHADEMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
8,652
Reaction score
2,642
Wanaukumbi.

Tujulishane waliofuatana na EL UKAWA.

1. Ole Medeye aliyekuwa mbunge wa ARUMERU MAGH.

2. Regina Lowassa...
Wataje...

.....UPDATE....
-Madiwani 20 wa ccm Monduli.
-Madiwani wa Ccm Shinyanga.
-Ester Bulaya.
-James Lembeli.
-Diwani wa Moshono Paul Mathyssen na Viongozi wa ccm kata Terrat.
- Madiwani wa ccm kahama.
- Meya wa zamani wa jiji Arusha na diwani wa baraa Paul Laiser.
- MATSON CHIZII,KATIBU WA ZAMANI WA CCM DAR.
- Mwenyekiti wa ccm ARUSHA,Ole Nangoro.
-Katibu Mwenezi mkoa Bw.Kadogoo.
- Mwenyekiti wa ccm SUMBAWANGA,mwenyekiti wa wazazi SMBAWANGA.
- Mbunge wa Sikonge Said Nkumba.
 
Soffy,Alhaj,na Emmanuel vipi...au watakuja baadae na vipi yule Mzee kule kwenye migodi ya madini isiyopata faida miaka nenda miaka rudi.Mtoto wa Walaloo lazima atatinga ndani.
 
Back
Top Bottom