hilo wazo la naibu waziri halitatoa ufumbuzi wa tatizo la elimu tanzania,kufeli kwa hao wanafunzi hakuku sababishwa na mitihani migumu sababu kubwa ni uwezo wa wanafunzi wenyewe, kuna shule moja jirani ya kata ambayo imetoa div 3 wawili 4 kumi na mbili wengine 80 hivi zero.ukifuatilia sana wengi wao hawakustahili wafike kidato cha nne kabisaa kwani shule hiyo hiyo kwenye qt ya form two zaidi ya wanafunzi 80 wame fail kuingia kid cha 3 ni 20 tu walifaulu.hii inaonyesha kiwango cha elimu kimeshuka sana tz.kuna kijana wetu alifeli form 4 tukaingia gharama nyingi kurudia form four tena bwenini yalipotoka matokeo yalikuwa mabaya kuliko yale ya kwanza. Tunahitaji mabadiliko makubwa kwenye mfumo wa elimu tanzania.