.
Kuna kitu hapa Serikali & Watanzania kwa ujumla hamtaki kukubali ukweli ...
Hao wanafunzi hata wakirudia mitihani yao WATAFELI tena! ...
Asilimia kubwa ni mbumbumbu na hawajaelimika & hata IQ zao zipo chini, hata ufahamu tu wa general knowledge nao upo chini
Tatizo ni kubwa kuliko mnavyofikiria
.
Kwahiyo sababu ya kufeli ni kwamba watoto wetu hawakujiandaa au hawakuandaliwa? Na sababu ya kurudia mtihani tena ni kutoa fursa kwa watoto wetu kujiandaa, kuandaliwa, au kujaribu tena bahati zao? Nina wasiwasi mkubwa kwamba vyombo husika vinaweza kuligeuza suala hili likae kisiasa zaidi na watoto wetu wakirudia mitihani, wengi watapasishwa hata kama hawana uwezo ili mradi tu takwimu husika ziwe mtaji wa kisiasa/political asset, na kuondokana na hali ya sasa ambapo matokeo husika ni a political liability;
Hivi Tutafika kweli?
watakao feli watarudia tena mpaka matokeo yawe mazuri. Hii itafanyika ili mheshimiwa asijiuzuru.Kwanini inakuwa ni rahisi kuingia hasara kwa kulipia marudio ya mtihani lakini inakuwa ni ngumu wao kujiuzulu,au kwasababu hizo hela hazitoki mfukoni kwao? waache mchezo wa kuigiza.......hembu watuambie hao wanafunzi wakifeli tena baada ya kurudia mtihani nini kitafuata......Serikali imejaa wasanii kila kona na wananchi ni kama tumezoea kuongozwa kisanii, Mungu asaidie hili TAIFA.
Ikiwa ni pamoja hao wazazi kuwalipia gharama zote za kurudia?
absolutely... wazazi walipie gharama za kurudia, tuition n.k. serikali itoe hata hivyo vitu viwili.
Mitaala ya mambo ya lazima mwanafunzi wa Form Four ayajue - kama hakuna mitaala watoto wanajifunza vipi nchi nzima? Lakini la pili ni kutoa nafasi kwa watu ambao wako kwenye ajira mbalimbali na ambao ni wataalamu katika masomo yao kurudi na kujitolea (volunteer) kuwaandaa watoto hawa kwamitihani.