Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,702
- 36,124
- Thread starter
- #21
Daaahh.Mbona wewe unafokewa na mke wako kila siku na unavumilia?
Jf sasa ikawapime ufahamu member wake.
Daaahh.Mbona wewe unafokewa na mke wako kila siku na unavumilia?
Roho ya Korosho!🐒🐒🐒
View attachment 1821890
Kwani i mara moja. Yeye mwenyewe marehemu aliwahi kitamba kuwa Kabudi na Mpango hawasemi tu ila waliwahi kula pumbavu nyingi sana. Na aliposema hivyo, mnafiki Kabudi alibaki anatanasamu.Hata mama Samia atakuwal kamvumilia mengi saana, Jamaa hakuwa na staha kabisa!! Kuna siku alimtukana waziri eti Pumbafu....sikuamini kabisa.
Kwani Magu alikuwa mtu yule?Mimi ninafanya kazi taasisi moja iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, wizara ambayo Magufuli kahudumu kwa muda mwingi.
Hapa watu kuhamishiwa wizarani au mtu wa wizarani kuja hapa ni jambo la kawaida tu.
Ngoja nikupe kisa kimoja tu cha huyu aliyekuwa msaidizi wa Magufuli. Kuna kipindi alitaka kujenga sasa alipoona ukaribu wake na mh. Magufuli (kipindi akiwa waziri) alimshirikisha dhamira yake. Alimwita baba naomba unikopeshe milioni 5 niongezee na kiasi nilichonacho nijenge. Nitakurudishia baba. Jamaa aliambulia majibu ya kukaripiwa kama mtoto.
Huyu mtu mpaka Magufuli anafariki akiwa Rais bado alikuwa mmoja wa wafanyakazi wake.
Hapo point si kumsaidia kila mtu anayehitaji msaada kwake maana hata yeye mwenyewe alikuwa na mahitaji yake binafsi. Point iliyonifanya nilete uzi ni majibu ya ukali aliyompa kana kwamba hamfahamu kabisa.
mpenda maendeleo magufuli?? MyfootAcha uongo JPM alipenda watu wanaopenda maendeleo! Wewe ni mzandiki tu
Magufuli hakuwa na akili timamu Yule , ni mwendawazimu
ujinga mlikuwa mnajazana na huyo mpuuzi mwenzakoUna akili timamu?
Hili jambo nimesimuliwa na mhusika ambaye ni mfanyakazi mwenzangu kada moja.
Hakunisimulia ili kumpondea Magufuli, kuna jambo alinielezea ikabidi ligusiwe na hili.