Waliochota Pesa ESCROW Stanbic hawa hapa

Waliochota Pesa ESCROW Stanbic hawa hapa

....aliyefahamika kwa jina la Rajiv Bharat Bhesania,

....mmiliki wa kampuni ya Pan African Power (PAP), Harbinder Seth Singh.

....ni Mwanasheria wa PAP, Joseph Makandege,

....inabidi wambane huyuhuyu Rajiv Bhesania.

Chanzo: Raia Mwema
Wametaja majina wahindi wahindi ambao washatajwa bungeni na lawyer wa muhindi, mke wa kigogo wanamuogopa.
 
wacheni hizo wame chukua mahela yao ....iptl hawafanyi kazi ya kanisa majungu tu....
 
Tatizo si magezeti ya kibongo, ila tatizo ni mfumo wa kulindana na katiba ya sasa inayolinda watawala wasinyoshewe kidolge kwa lolote, Mtajwa mmojawapo kama ni mke wa Kigogo wa Juu pale Ikulu ujue analindwa na katiba ya sasa hivyo vigumu kwa mazingira ya kibongo kumwanika hadharani. Ingwa jina laeleweka maana vigogo wa Juu wanaoishi Ikulu si idadi ya kuhesabu bali ni familia moja, vinginevyo wengingine wanaingia kikazi na kutoka si makazi yao na wengine ni watumishi tu.

Familia moja ...........................!!? Ok!
 
Takukuru :Upelelezi unaendelea.
Ikulu :Upelelezi unaendelea.
Polisi :Upelelezi unaendelea.
Miaka inaenda, maisha Yanaenda upepo unapita!
Tukisema mkuu wa kaya anahusika!! HATUKOSEI!
 
Tatizo si magezeti ya kibongo, ila tatizo ni mfumo wa kulindana na katiba ya sasa inayolinda watawala wasinyoshewe kidolge kwa lolote, Mtajwa mmojawapo kama ni mke wa Kigogo wa Juu pale Ikulu ujue analindwa na katiba ya sasa hivyo vigumu kwa mazingira ya kibongo kumwanika hadharani. Ingwa jina laeleweka maana vigogo wa Juu wanaoishi Ikulu si idadi ya kuhesabu bali ni familia moja, vinginevyo wengingine wanaingia kikazi na kutoka si makazi yao na wengine ni watumishi tu.
Hana unakika na anchokisema, anaofopa kuburutwa mahakamani kwa kukosa ushahidi
 
Tamkamata vipi mtu tukalazimisha anajua wakati hahusiki na wala hana mamlaka yeyote ya kuzungumza kwa niaba ya kampuni. Hizo pesa zimeshaenda tungoje bomu lingine hili limeshapita.
 
Apa wamejaa ma GT watupu wenye shule zao,nafas zao ivi kwel tumeshindwa kupata majina ya kule stabic jamani msitufanyie ivo JF imekua chanzo ki kubwa sana cha habari hd ikulu wanachukuaga apa
tuwasaidieni kuwapa majina ya kule kwenye Bill 70 na kule holland
cc pasco and others
 
Usiwe na wasiwasi siku isiyo na jina utayakuta.Kumbuka SIRI ni ya mtu mmoja tu.
 
Escrow ya mkombozi banki tumeiona, escrow ya stanbic bank mbona kimya? Ipo wapi? Mbona hatuioni??????????

Au na mabwana wakubwa wa nchi hii mumooooooooooooooooooo????????????? Mbona kimya?????????

Benki haiwezi kutoa pesa kwa watu hewa. Ileteni orodha ya stanbic bank haraka sana bila ivyo ccm bye byeeeeeeeeeeeeeeeeeee

RAIS KIKWETE2.jpg
 
Hata hao kina Filikunjombe, Zitto na Kafulila hawawajui waliochukua pesa Stanbic
 
Imekua siri hivyo cause pesa za acc ya Stanibick transactions zake hazikufanyika electronically, huku ndio watu walipochukua kwenye viroba! Bank ya Mkombozi ilifanya transactions zake kwa TISS na ndio maana tunajua nani alichukua ngapi!
 
Aliekua CAG Utoh anawafahamu wote, sema aliogopa kuwaweka hadharani kwa kuhofia nchi itatikisika kwani hao ni mapapa wakuuuubwaaaa, wapo akina porofesa wale wa Xi Ji Ping....
 
Mkuu,
Wewe unayeifahamu Katiba ya nchi. Hebu nitajie kifungu cha kwenye Katiba kinachomlinda huyo kigogo wa juu pale Ikulu.

Kwa hiyo Raia Mwema inamlinda huyo kigogo wa juu pale Ikulu?

Tuacheni kufanya utani kwenye masuala ambayo ni serious?

.......He is above the law,guess who?......
 
Back
Top Bottom