Waliochochea vurugu washughulikiwe

Waliochochea vurugu washughulikiwe

Wapumbavu kama nyie ndo mmesababisha mpaka tumefika hapa badala ya kushughulikia ufisadi,utekaji,matumizi mabaya ya rasilimali,maisha mabovu,siasa chafu vitu ambavyo vimetufikisha hapa mnawauwa watu.hii damu mtalipia nyie na vizazi vyenu
Ibadilishe wewe
 
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.

Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
Waliochochea ni pamoja na waliopuuza vilio vya wananchi wao,waanze wao halafu wafuate wengine.
 
Waliochochea ni pamoja na waliopuuza vilio vya wananchi wao,waanze wao halafu wafuate wengine.
Vilio vya hatumtaki mama,kila rais akiingia kundi likasema hatumtaki basi rais atoke siyo!?
 
Ibadilishe wewe
Kuna muda kukaa kimya ni akili, your display total foolishness,na uchawa hakuna anayependa Mavita we all know the bad side yake ,Dada kaaa Fanya analysis vizuri ,wapi tumedondokea na tunatokaje Kama taifa,try to make scape goat sio solutions.

Hakuna anayependa haya yatokee wanaoumia still bado ni 90 percentage ya tabaka la chini,sio sifa Kwa sasa kushabikia kilichotekea nani tumkamate tumpige rungu,Kwa sasa muhimu kufanya root cause analysis of situations then to move forward.

Be logical,be objective.
 
Kuna muda kukaa kimya ni akili, your display total foolishness,na uchawa hakuna anayependa Mavita we all know the bad side yake ,Dada kaaa Fanya analysis vizuri ,wapi tumedondokea na tunatokaje Kama taifa,try to make scape goat sio solutions.

Hakuna anayependa haya yatokee wanaoumia still bado ni 90 percentage ya tabaka la chini,sio sofa Kwa sasa kushabikia kilichotekea nani tumkamate tumpige rungu ni sifa Kwa sasa kujua root cause analysis then to move forward.

Be logical,be objective.
Andika kiswahili
 
Weee mpuuzi nini
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.

Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia
 
Awamu hii tukiona polisi tunapiga tunachukua silaha. Vita ni vita mura
 
H
Nyi wakosa adabu mtaendelea kuoneshwa serikali ni nini, nadhani mmeijua sasa..unahamasishwa na mdangaji yuko marekani,eti jeshi lipo na wananchi!
Hebu lete comment moja uliyowahikukemea utekaji na upoteaji wa watu.
 
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa
Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa.

Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili kuepusha hili kujirudia

Kwa hiyo baada ya hao wanaharakati kuchochea maandamano, baada ya hapo watu wakafa kwa sababu tu ya kuandamana?

Kwamba vyeti vyao vya vifo sehemu ya sababu ya kifo itaandikwa "Kaandamana"
 
Kwa hiyo baada ya hao wanaharakati kuchochea maandamano, baada ya hapo watu wakafa kwa sababu tu ya kuandamana?

Kwamba vyeti vyao vya vifo sehemu ya sababu ya kifo itaandikwa "Kaandamana"
Nani kachoma mwendokasi,sheli,maduka,ua askari,kata vidole vyenye wino vya waliopiga kura?
 
Suala hapa sio washughulikiwe tu, ni serikali ijitafakari pia kwa nini tumefika hapa?? Ni kwamba katika hiki kipindi cha miaka 5 gap la walionacho na wasionacho limekua kubwa sana, na wasidharau hii kitu maana haya maandamano kuna siku yatarejea kwa kasi kubwa na hawataweza kuyasimamisha. Ogopa sana wananchi wanapokua hawana la kupoteza. Mabadiliko ni muhimu sana wakati huu.
NB. Don't get me wrong, Mh mama Samia kaiongoza nchi vizuri kwa kumaliza miradi yote mikubwa ilioachwa na Magufuli, tatizo kubwa hana washauri wazuri wa kuangalia upepo.
 
Bila no reforms no election,tukiwashe pasikalike..haya yasingetokea
Ww unaamini ni no reform no election ndiyo imeleta yote haya?
Ukishaona nchi watu wanavunja maduka na kuiba mali, ujue Kuna chuki kubwa inayotokana na gap kati ya walionacho na wasio nacho.

Kwa bahati mbaya sana NO ONE CARE.
 
Andika kiswahili
Kukaa kwenye keyboard+( Keyboard warriors)
Kugawanya taifa ni ufala tukaeni kama taifa bila itakadi za kichama tutatue matatizo yetu Kwa mstakabali wa taifa letu ,haya ya ushabiki yatamaliza taifa shida ya ngozi nyeusi ni kutokubali ukweli ni upi na upi ni ujinga,

Let us overcome our fear Kwa kufuata ukweli ndio tutaponya taifa lakini kama Bado wapo wanao jiona wengine ni Bora kuliko tusahau kuwa taifa la watu wamoja Amani na haki.

Manake huu muda sio wakutafuta nani tumshugulikie huu ni muda wakuja pamoja
Kwema itakidi nje na uzalendo Kwa ustawi wa taifa.....you can not stop diarrhea by stitching the anus.
 
Back
Top Bottom