Waliochapa jina la Dr Samia kwenye jezi wameharibu sana

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,298
3,973
Maandishi yanatakiwa ya balance sio yanakuwa na height kubwa kuliko width yake.
Tafadhali tafuteni artists wa maandishi sio kila mtu anaweza kufanya vitu hivi.

Hata nguo ulimpa designer lazima ashirikishe wataalam wa maandishi na picha kama zipo kuviweka sawa.

Maandishi kama ubao wa ujugu arena kwenye jezi!
 
Ila wabongo jamani dah

Mnajua kukosoa asee

Yaani kila kitu mnakitafutia negative zake, mtakufa na stress umbwa nyinyi. Hakuna positive mnayoona kila kitu lazima unaangalia pungufu.

Mnaharibu maana ya maisha. Maisha Yana mengi ya kufurahia, ungeamua ungeona mengi Sana ya kufurahia hapo na ungeujaza moyo wako na amani, Kuwa positive dogo achana na makasiriko. Utazeeka kabla ya umri wako
 
Maandishi yanatakiwa ya balance sio yanakuwa na height kubwa kuliko width yake.
Tafadhali tafuteni artists wa maandishi sio kila mtu anaweza kufanya vitu hivi.

Hata nguo ulimpa designer lazima ashirikishe wataalam wa maandishi na picha kama zipo kuviweka sawa.

Maandishi kama ubao wa ujugu arena kwenye jezi!
Unateseka sana. Kwani huyo aliyepewa T-shirt anasemaje? Ameikataa au?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Utopolo mkubali tu kwamba siku yake imekuwa na mafanikio na huo ndio uungwana..naona mnaanzisha nyuzi humu za vitu vidogo vidogo...tukiwaambia mambo ya Simba ndio habari hamtaki
 
Back
Top Bottom