Mahcyn Aliy
Member
- Aug 8, 2016
- 37
- 3
jamani kwa wale wanafunz waliochaguliwa kwenda teofilo mbeya lini tarehe ya kufika chuoni? maana naona kimya wala website yao hawajaweka hcho ktu.
teh teh teh msuli teku twh teh teh teh mama john mbeya hyoooojamani kwa wale wanafunz waliochaguliwa kwenda teofilo mbeya lini tarehe ya kufika chuoni? maana naona kimya wala website yao hawajaweka hcho ktu.
hvi chuo kipo mbeya sehem gan?teh teh teh msuli teku twh teh teh teh mama john mbeya hyoooo
Maeneo ya tunduma palehvi chuo kipo mbeya sehem gan?
Kipo kabwe eneo lenyewe Lina itwa teku u a welcomehvi chuo kipo mbeya sehem gan?
Duuh aisee una mpoteza mwenzio juma izi ishu ziko serious kama ujui kilipo kaushaMaeneo ya tunduma pale
hivi ukishashuka basi linalotoka dar es salam unaanzia wap mpk kufka chuon? explain briefly please. maana sie wengine it is the first time kuja mbeya.Kipo kabwe eneo lenyewe Lina itwa teku u a welcome
ok asante.. bc toa maelezo at least tupate mwangaza tukifika mbeya tunaanzia wapkaribuni mlambe ghetto
kipo mbeya mjini sehemu inaitwa mama johnhvi chuo kipo mbeya sehem gan?
Utashukia nane nane then utapanda gari (daladala) zinazoenda stend kuu af utashukia mama john au soweto (southern highland sec) hapo utaona barabara inaongoza ad chuonhivi ukishashuka basi linalotoka dar es salam unaanzia wap mpk kufka chuon? explain briefly please. maana sie wengine it is the first time kuja mbeya.
much respect for u mkuu. thanks alot.Utashukia nane nane then utapanda gari (daladala) zinazoenda stend kuu af utashukia mama john au soweto (southern highland sec) hapo utaona barabara inaongoza ad chuon
www.teku.ac.tzJaman nisaidien hayo majina mmeyaona kupitia link gani ya waliochaguliwa TEKU
kwan course za batch ndo zipi na zilobakia ndo zipi?Ahsante ! But ni selection za BATCH tu ambazo zimetolewa!?! Au course zote!?