mtoo wa mwakidira
Member
- Sep 23, 2015
- 33
- 0
Pale DAELP Eng department kulikuwa na Mlengera bado yupo alitutesa sanaaa.Pia SM Mpanduji anamawe ya hatariiii kuna test moja niliwahi pata 04% halafu below 10% wanasomwa mbele hicho kitu cha STRENGTH OF MATERIALS ila mwisho wa UE nikamkazia Na kupata B+.Wale wote mnaokwenda Engineering acheni woga ukikomaa hata SUP utakuwa unazisikia kwa jiraaaani tuu.

hongereni kwa kuchaguliwa SUA.muhimu ni juhudi, Mungu,respect. sio muda wote unakula msuli tu...hapana, pata muda pia kuingia samaki samaki, viber kurefresh. allth best wote
Vipi na kuhusu koz ya informatics wadau.....?
Hiyo ni kozi ya education ambayo utasoma sana informatics(ambayo ni sawa na computer science) na mathematics (pure maths). Uzuri wa hii kozi ni kwamba unajengewa misingi ya maths na computer science, hii kozi utaipenda kama unapenda maths na computer!!! japo ni ya education lakin ukimaliza still unaeza fanya kazi kama mtu wa copmuter scice au IT!!!Wadau me nimechaguliwa B .s in mathematics and informatics, plz nijuzeni wandugu!
hongereni kwa kuchaguliwa SUA.muhimu ni juhudi, Mungu,respect. sio muda wote unakula msuli tu...hapana, pata muda pia kuingia samaki samaki, viber kurefresh. allth best wote
Me npo irrigation wadau ipo vp hii coz na vip ajira zake
Me Nimechaguliwa Agricultural Economics And Agribusnes, Vp Hii Coz Ipo Kwenye Soko La Ajira?
Sup 5 kuzisapua mbona akili lazima imkae sawa mtu.
Aksante sana kwa kuwa muwazi kwa first year kwani bora uwaambie ukweli ili wajipangeWaache Waingie Saizi Waiage Maana Asignment Hazijaanza Ndiomaana Hata Wewe Umeingia.
ILA KIUKWELI SIWATISHI SUA SI KWA WAZEMBE,WALABATA WALA WASIOJIWEZA. Ila kama ulikuwa unafaulu kihalali ukiweka juhudi unamaliza vzr tu.
KARIBUNI CHUO CHA WAZEE WA KUTINGWA(BUSY) MUDA WOTE