Waliochaguliwa Clinical officer training center Lindi

Waliochaguliwa Clinical officer training center Lindi

Naftari Erasto

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
108
Reaction score
50
Habari wana JF?
Kwa wale ambao wanasomea chuo tajwa hapo juu au wamechaguliwa hapo tujuane hapa tujuzane mawili matatu
Hata kwa wale ambao wanakifahamu vyema chuo hicho nao wanakaribishwa kutujuza kuhusu mengi ikiwa ni pamoja na mandhari, upatikanaj wa Huduma za jamii na gharama za Maisha kwa ujumla
 
Iko ni chuo kizuri kina huduma zote muhimu
Hospital ya mkoa
Malazi ni umo chuoni
Vitu vyote muhimu vipo ni wewe tu
 
Back
Top Bottom