Waliochaguliwa certificate na diploma is it possible tar 25/9 kuanza masomo?

Waliochaguliwa certificate na diploma is it possible tar 25/9 kuanza masomo?

grammy

Member
Joined
Aug 29, 2017
Posts
20
Reaction score
9
Habari zenu wadau? Kwa kuchelewa huku kwa confirmation na joining instructions kwa wale waliochaguliwa na baadhi ya vyuo, je kuna uwezekano wa kuanza masomo tar iliyopangwa 25/9?
 
Masomo rasmi ni wiki ya kwanza au ya pili mwez wa kumi.. maana hata sasa application bado zinaendelea
 
habari zenu wadau? Kwa kuchelewa huku kwa confirmation na joining instructions kwa wale waliochaguliwa na baadhi ya vyuo, je kuna uwezekano wa kuanza masomo tar iliyopangwa 25/9?
Application bado zinaendelea
Ila chuo kina ratiba take mkuu
Possibility ya kuanza wiki ya kwanza ya October
 
Sijui tatizo liko wap hadi leo hawajatoa joining instructions
 
Namna ya kuomba IPO vip wakuu?
Kuna MTU yani hajielewi kabisa?
Nikipata intro tu naweka bundle Kwa PC nimkamilishie
 
habari zenu wadau? Kwa kuchelewa huku kwa confirmation na joining instructions kwa wale waliochaguliwa na baadhi ya vyuo, je kuna uwezekano wa kuanza masomo tar iliyopangwa 25/9?
25 hadi 8 October ni usajili tu
 
mkuu kuna dogo nilimfanyia application bt detail zote yaan username na passwrd nilimtumia yy ila kavipoteza,nawezaje kumsaidia ili aone matokeo?
Check kwenye email ambayo uliitumia kwenye application.. lazima utaiona humo.
But kwa system walivyoweka sasa haina haja ya kuweka hadi password, ukiweka username tu ambayo ni nmba ya shule, ya mtihani na mwaka wa kumaliza system itasearch then itatoa result husika
 
mkuu kuna dogo nilimfanyia application bt detail zote yaan username na passwrd nilimtumia yy ila kavipoteza,nawezaje kumsaidia ili aone matokeo?
siku unaregister walituma email kwako ikiwa na hayo mawili. itafute. Na mimi nilifanya hivyo! hurry up!
 
Check kwenye email ambayo uliitumia kwenye application.. lazima utaiona humo.
But kwa system walivyoweka sasa haina haja ya kuweka hadi password, ukiweka username tu ambayo ni nmba ya shule, ya mtihani na mwaka wa kumaliza system itasearch then itatoa result husika
ok sorry niangalizie S0658/0024/2011
 
ni kweli ila aikumbuk passwrd ya email,yaan jamaa ni jipu sana
katika mtandao wa email kuna mahali wanasema forget pass word, then unafuata maelekezo. usimlaumu kama yuko kijijini it is possible
 
Back
Top Bottom