SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,052
- 2,846
Najua MODS wanaweza kudhani hii ni Chit Chat..lakini naomba wasiipeleke huko kabisa kwa sababu hii ni KWELI kabisa...na members wenzangu nilikuwa naomba kwa moyo wa Kitanzania kila mtu atambue watu wake sita ambao kupitia THREADS au POSTS zao WAMEBADILISHA au WAMEONGEZA KITU katika ufahamu wake wa jinsi ya kukabiliana na MAHUSIANO au URAFIKI in 2012... Binafsi nashukuru baadhi ya watu kupitia PM au hapa Jamvini wamekiri kuridhishwa na SHAURI zangu....LAKINI mganga HAJIGANGI na mimi pia ninao watu sita ambao KIUKWELI wamenisaidia sana KUIMARISHA NDOA yangu...OMBI langu kupitia HUU UZI naomba kila mmoja awatambue watu wake SITA ambao KUPITIA SHAURI/POSTS/THREADS zao basi basi mambo yao yamebadilishwa na kama sio kuboreshwa kabisa....Wa kwangu Mie ni hawa:
1 Mtambuzi
2 gfsonwin
3 snowhite
4. The Boss
5. Dark City
6. Father of All
N:B Naomba tuwe Serious Jamani ili tuwaenzi wale waliotusaida..hii itasaidia watu kutoa mawaidha na kuacha utoto..
1 Mtambuzi
2 gfsonwin
3 snowhite
4. The Boss
5. Dark City
6. Father of All
N:B Naomba tuwe Serious Jamani ili tuwaenzi wale waliotusaida..hii itasaidia watu kutoa mawaidha na kuacha utoto..