Walioachika msikate tamaa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
hi babies
yawezekana wewe ni mmoja wa walioathirika na usemi wa hapo juu
leo hii nimekuja kuwapa amani kwamba lipo kimbilio baada ya kuachika
yupo MUNGU anaeweza yupo MUNGU aliepo kwa ajili ya wenye uchungu
wote......na ndio maana kuna ambao baada ya kuachwa wanakuja kupata wandani wao wenye amani na furaha na hivyo kusahau machungu walioyapata huko nyuma....kama kuna mtu amefikira hata kujiua kwa ajili ya matatizo ya ndoa ndugu mshike mungu hatoangalia umbali uliokuwa nao kabla ya matatizo ataangalia jinsi gani unavyomwamini moyoni mwako kwamba yeye ni munga wa wajane,,,yatima na waliachwa...yawezekana hukuwa na kosa kabisa ila kutokana na ufahamu hukujua kwamba kuna dhambi ya laana ya kuachika huko kwenye familia yenu....anza kukemea na kukataa kabla mungu ajakuletea mtu sahihi katika maisha yako
Nawakutakia kila lakheri na maisha bora
 
Kwanza si kila mtu anaamini katika mungu.

Halafu kuachika si kitu kibaya, kuna watu wengine wako thankful wameachika.Kwa nini unaongelea "msikate tamaa".
 
Ina maana unavyosema kwamba walioachika wasikate Tamaa.Kwanza ukiachika huwezi kupata mwanamke mwingine au??
 
Bluray is in deep frustration ignore him! unaelekea wewe unapenda sana mipini nifatilia post zako waonyesha hivyo, usiulizie statistical level wala confidence interval!!
 
Kwanza si kila mtu anaamini katika mungu.

Halafu kuachika si kitu kibaya, kuna watu wengine wako thankful wameachika.Kwa nini unaongelea "msikate tamaa".

I dont agree with you to agreat percent!

Hii thread si kwa watu wote na kwa hakika si watu wote wanaweza kusoma. Lakini, kwa wale wanaomwamini Mungu, na wameachika at unsatisfactory reasons, na kama watakutana na hii thread, basi watafarijika sana...ndio kazi ya thread hii!

PILI KUACHIKA SI KUBAYA KIVIPI?

Dont justify it just because of the little percent of those who find better life after that dirty action!

"Mungu anakuchukia sana kuachana" is all i can tell you, na hata kama huamini Mungu, NENO HILI LITABAKI KUWA USHAHIDI kwako hata DAHARI!

Be blessed!
 
Back
Top Bottom