Walioacha kazi serikalini wanateseka sana uraiani.

Habari za jioni.

Kuna jamaa alifanya kazi serikalini kwa miaka 18 akampa boss wake vitasa vizito akaamua aachane na ajira.

Leo nimemuona mtaani kachoka ile mbaya kwa ulanzi hana mishe yoyote.Msiache kazi mtachakaa.

Ohoooo haya!
Mbona Mimi nimeacha kazi huu mwaka 12 bado nakula bata kitaa.
Mambo ya kusubiri mshahara siku 30 unateseka wakati kuna shughuli kitaa unavuta mpunga kila siku.
 
Habari za jioni.

Kuna jamaa alifanya kazi serikalini kwa miaka 18 akampa boss wake vitasa vizito akaamua aachane na ajira.

Leo nimemuona mtaani kachoka ile mbaya kwa ulanzi hana mishe yoyote.Msiache kazi mtachakaa.

Ohoooo haya!
Shika adabu yako ,ulanzi haukuwahi kumchakaza mtu ila yeye tu na shida zake
 
Sijui utanipa kazi gani serekali ili niweze kukubali kuajiriwa tena,labda Katibu Mkuu Kiongozi au CAG naweza kufikiria tena baada ya kushauriana na wife na ndugu jamaa na marafiki.
Hongera sana kwa ujasiri huu I wish one day na Mimi niweze kuwa na ujasiri wako
 
Sijui utanipa kazi gani serekali ili niweze kukubali kuajiriwa tena,labda Katibu Mkuu Kiongozi au CAG naweza kufikiria tena baada ya kushauriana na wife na ndugu jamaa na marafiki.
Miaka 75 huna ajira..
 
Na wale wanaostaafu serikalini alafu wanateseka, wao tusemaje?
Mambo ya kuteseka yanategemea mtu umejiwekezaje
 
Back
Top Bottom